Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Mara nyingi umri ni parameter flan inayotumika kukwamisha, kukatisha tamaa au kupressurise watu.

Ningepewa chance ya kushauri vijana wale wanaoanza kujitafuta from the scratch ningewaambia wadate wadada wakubwa kwao waliomaliza kuhangaika na mitikasi ya mapenzi na kufake life, wale hua wanakupa utulivu flan wa kiakili na wanakua na uzoefu mkubwa wa kimaisha.
Naona unatuandaa kiakili si ndio?
 
Labda unipiigie pande dada ,wifi yako kuna vitoto vya elfu mbili vimeenda kunisagia sumu PM haelewi la muuazini wala mnadi swala .

Eti wanasema mimi nimewahi kuoa wanawake watatu kutoka hapa hapa jamvini hivyo anaogopa eti kuingia ugomvi na hao 🙃 ,nimejikuta nimechoka aisee
Aaaaiiiiiii mbona wanakusingizia jamani.
 
Una watoto 5?

Tatizo wanawake hilo huwa hawalijui. Mwanamke akiwa chini ya 30+ lazima awe na mwanaume anayemzidi miaka 10+ maana hekaheka za mwanamke kuanzia 15 hadi 30 zinamfanya awe amemaliza yote. Tatizo mwanaume ni wachache chini ya 30 wawe katika heka heka maana ni wakati wa kujitafuta hadi 40, hapo ndipo mwanaume anaanza heka heka hadi 50. Mwanaume akiwa 50 hutulia. Kabla ya hapo lazima azue chupi nyingi CC mamawatano
sawa asante kwa ushauri ndio maana nimeanzia 41-55yrs
 
Mara nyingi umri ni parameter flan inayotumika kukwamisha, kukatisha tamaa au kupressurise watu.

Ningepewa chance ya kushauri vijana wale wanaoanza kujitafuta from the scratch ningewaambia wadate wadada wakubwa kwao waliomaliza kuhangaika na mitikasi ya mapenzi na kufake life, wale hua wanakupa utulivu flan wa kiakili na wanakua na uzoefu mkubwa wa kimaisha
Ni kweli ila hapa wapo kutatisha tamaa na kusema umri na nitapata tu wakufanana na mimi.
 
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.

Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.

Niseme sio kuwa nakuwa proud na haya maisha ila ilibidi nifunge kibwebwe ili nilee watoto maana mzazi mwenzangu tuliachana toka mtoto wa kwanza ana miaka sita.

Napitia wakati mgumu kwa vile sina mpenzi na kuna muda kama binadamu najisikia kuwa na mwenzangu. Sasa Naomba kwenye Jukwaa hili kama kuna mwanaume ambae na yeye ana watoto na anahitaji mwanamke mtu mzima ambae hawahitaji kuzaa tena karibu. Au mwanaume mgane.

-Ninafanya kazi ila sio mwajiriwa wa serikali.
-Maoni yenu pia ni muhimu lakini usinikatishe tamaa.
-Nina haki ya kupenda tena.
Humu wahuni watupu bibie! Jiandae tu kwa matusi na kashfa toka makondoo ya kigalatia!!
Ngojea nikufuate PM Mimi mtu mzima mwenzio!!am 46yrs
 
sawa asante kwa ushauri ndio maana nimeanzia 41-55yrs
Mwanaume anayekuzidi chini ya miaka 10, mtazinguana tu. Kwa mizigo uliyo nayo mgongoni, Unatakiwa umpate na wao watakao mheshimu na kumuona kama baba. Si kama mshikaji.
 
Mwanaume anayekuzidi chini ya miaka 10, mtazinguana tu. Kwa mizigo uliyo nayo mgongoni, Unatakiwa umpate na wao watakao mheshimu na kumuona kama baba. Si kama mshikaji.
nakuelewa sana ila sina mizigo wala sitamfuti mtu wa kunisaidia kwa hapa nilipofika natafuta mtu tupendani tuzeeke wote basi. Ukiwaza positive utaelewa nachomaanisha. ndio maana sikukurupuka wakati ule nikiwa na umri mdogo 20's nikaamua kulea na kuwapa elimu sasa kama unavyojua na wao wataondoka kuanza familia zao.
 
Naomba kufunga huu uzi kuanzia sasa sitaki tena mtu na kwa vile nimetoa golden chance mmeikataa, maombi yamefungwa rasmi.
 
Back
Top Bottom