kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
- Thread starter
- #21
Nimeandika barua Shule 3 Toka January hadi Leo sijaitwa licha ya kubandika contact zangu mle
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeandika barua Shule 3 Toka January hadi Leo sijaitwa licha ya kubandika contact zangu mle
Basi usihofu nakuambia jishighulishe tuu na usiwe utaniambia watakukimbilia hadi uwakataeMkuu ukiniona maisha yangu nipo uswahilini huku Ukijiona huwezi jua Kua Nina jiwe kichwani nipo nipo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuonani Sheikh wangu [emoji41][emoji41][emoji41]
Chiiiiiiiiiiiiiiiiiii usimfanyie hivyo mwenzio ana jipiei ya sekandi klasi ujue
Kazi zenyewe naona ni ngumu mkuu shida mtajiBasi usihofu nakuambia jishighulishe tuu na usiwe utaniambia watakukimbilia hadi uwakatae
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo huku huku Bagamoyo, nakula Upepo [emoji41][emoji41][emoji41]Daaaaah ni kwell boss. Sijui upo wapi
Siyakukothamela Sonini na nini
Jamaa Ana wivu utadhani ananijuaChiiiiiiiiiiiiiiiiiii usimfanyie hivyo mwenzio ana jipiei ya sekandi klasi ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo huku huku Bagamoyo, nakula Upepo [emoji41][emoji41][emoji41]
Sijasema zinaliwa nimejaribu kutoa uhusiano wa uwezo wangu wa darasani na kumshawishi mwanamke tuwe na mahusiano,
Kiongozi, huyo mswahili umesha mpata au [emoji4][emoji4][emoji4]Mkuu nakuja kuoa mswahili naomba uwe mshenga
Siyakukothamela Sonini na nini
Kazi zozote mkuu usichague kazi wewe weka vyeti pembeni jifunze hata ufundi was umeme majumbani na uanzie kuwa nyoka kwa fundi mwenye wateja utaniambia kwa sasa hakuna ajira maana hata hawa waliopo jamaa anataka kuwapunguza abakie na wachacha sana
Sisi hatuangalii una akili kiasi gani pesa unazooooo!??? Akili akili unadhani ukipata 100 darasani umemaliza kila kitu????Sijasema zinaliwa nimejaribu kutoa uhusiano wa uwezo wangu wa darasani na kumshawishi mwanamke tuwe na mahusiano,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi, huyo mswahili umesha mpata au [emoji4][emoji4][emoji4]
Try to look carefully my article to understand my thoughts instead of mocking me!
Kazi zozote mkuu usichague kazi wewe weka vyeti pembeni jifunze hata ufundi was umeme majumbani na uanzie kuwa nyoka kwa fundi mwenye wateja utaniambia kwa sasa hakuna ajira maana hata hawa waliopo jamaa anataka kuwapunguza abakie na wachacha sana
Sent using Jamii Forums mobile app