Mambo matatu yaliyojificha kwa watu wengi wenye akili za darasani

Genio the great

Senior Member
Aug 29, 2022
159
491
MAMBO MATATU(3) YALIYOJIFICHA KWA WATU WENGI WENYE AKILI ZA DARASANI

Habari mwana Jf nimekaa Kwa miaka kadhaa nmekua nikiandika orodha ya watu ambao nimewahi soma nao kuanzia elimu ya msingi hadi sekodnari kitu nilichokigundua kiliniumiza na kusikitisha sana hadi Kuna muda nikajiuliza Kwani akili za darasani zina faida Gani na kikanifanya nkuandikie haya niliyobaini lakini kuandika huku sio mwisho wa utafiti huu nakualika nawewe kama una experience yoyote kuhusu hiki nilicholeta mezani

1: watu wengi sana wenye akili za darasani yaani kufaulu mitihani ya shuleni Maisha yao baada ya shule Huwa ni ya kawaida sana katika Nyanja karibu zote ukitoa vile walivyokariri :-
a) Mahusiano(Mapenzi)
b)Uchumi (Kipato)
c) Mahusiano yao na jamii.

A). MAHUSIANO (MAPENZI)
Kwenye hili nimefanya uchunguzi wangu Kwa ndoa kadhaa na mahusiano kadhaa ya waliosoma na wenye akili za darasani Kuna shida kubwa sana isiyoelezeka na hii shida ipo Kwa namna tofauti:-

i)Kuna wanaoteswa sanaaa na Mapenzi yaani wanaumizwa sana na hawana ujanja hata wa kujua Namna ya kujitawala kwenye mahusiano na hii nmegundua inasababishwa na kuchelewa kwao kujua mambo ya Mapenzi
maana Hawa ndio wale ambao wakati tupo shule waliambiwa ukichanganya Mapenzi na masomo utafail

kwahyo hajui lolote anapokuja kwenye hii Field Sasa ndio anakutana na wabobezi wa mambo ya mahaba na ndio mwili upo kwenye kuhitaji basi wanapelekeshwaga kupita kawaida pande zote either awe mwanamke au mwanaume

ii). Na kundi lingine ni wale ambao Sasa wamefanikiwa kuoana, Kwa kawaida kwasababu Wana akili za darasani moja Kwa moja wanaamini Kila jambo lazima utumie akili

wanajikuta wanareason sana kiasi Cha kuharibu Maisha yao ya ndoa yaani Kunakuwaga na ujuzi mwingi sana

hawaonagi hasara Hawa kuwa hadi na timetable ya tendo la ndoa kama vile walivyokuwa na timetable za kujisomea shuleni

B)UCHUMI (KIPATO)
Kwenye huu upande ndio mahali ambapo panaumiza sana hasa Kwa Tanzania Kwa uchunguzi mdogo nilifanya wengi niliosoma nao nawewe hapo ulipo tafakari wale ambao walikuwa vizuri sana darasan utaniambia wameishia kuwa kina nani,
majority wamedondokea kwenye kazi ambazo hazikuwa matarajio yao,
yamkini hata wewe mwenyw unayesoma ni miongoni mwao yaani unakuta alikuwa na akili sana darasan lakini baadae unakutana Naye unasikia amekuwa mwalimu(usininukuu vibaya kusema mwl nimetumia huu mfano kwasabu ndio ajira pekee yenye majority ya watu)

na anamaisha magumu, au amesoma kitu kikubwa ambacho hakijampa ajira yoyte na Hana uwezo wa kujiajiri Kwa hiko.

Mfano: Darasan kwetu Kuna wafunzi watatu walikuwa wanafanya vzr sana wakafaulu mtihani wao wa F4 wakachaguliwa advance mmoja PCM,EGM,PGM. watatu Hawa wote ninavyoandika andiko hili ni walimu

lakini Drs hilohilo Kuna wanafunzi wawili mmoja alipata div 4 ya point 30 akasoma certificate ya umeme hivi ninavyoandika alipata kazi tanesco hata kabla wale watatu hawajamaliza chuo na analipwa vizuri kuliko wale watatu
na mwingine huyu alipata div 4 ya point 31 yeye hakujihusisha kabisa na mambo ya kusoma Tena alianza kujiingiza kwenye bongo movie Leo hii tumekuwa tunamwangalia kwenye video Azam tv tukiwa makwetu.

unaweza Anza picha ya kile ninachosema kuhusu akili za darasani

Kwa ujumla hili eneo la Uchumi ni teso kubwa Kwa wasomi wengi na wapo wengine hadi vyuoni Wana disco kabisa vyuoni na Maisha yao ndio yanabadirikia hapo alikuwa vzr darasani alipofika chuo anajikuta yeye ndio anajua kuliko lecturer watu wanapita nae. Na Maisha ndio yanapotea jumla

C). MAHUSIANO YAO NA JAMII
Hili la mwisho ndio tatizo kubwa ambalo naona linawakwamisha wenye akili za darasani wengi

Kwa kawaida watu Hawa wakiwa mtaani huwa wanaona watu wote ni wapumbavu hawajui kitu chochote Bali wao ndio top wanajua Kila kitu,

wakati mwingine mtu anaweza akawa anapotea watu wanamwacha kwasabu ya ujuaji wake, na hapa kwenye mahusiano na jamii kunanweza vuruga yote yaliyo juu hapo yaani A&B

unakuta mwanafunzi anachagua kitu Cha kusoma anashauriwa na waliomtangulia anawaona ma zwazwa hawajui kitu kuhusiana na kusoma kana kwamba hiyo elimu anayosoma ni mpya hakuna waliosoma kabla yake,

au unakuta amezama kwenye Mapenzi anataka kuoa wakati huyo anayetaka kumwoa au kuolewa Naye pale mtaani watu wanamjua vizuri kwamba hafai lakini hawezi shaurika

UTATUZI
A) Mahusiano (Mapenzi)
Kwa upande wangu nilichokibaini kujua jambo ni muhimu kuliko kutokujua jambo na ndio maana Leo kumekuwa na midahalo mingi Jf kuhusu uwepo wa Mungu n.k , maana yangu ni hii Mapenzi na shule vinaweza kwenda sambamba kama tu utaelewa maana halisi ya Kila kimoja kati ya hivyo na kujua nini kifanyike wakati Gani

ndio maana wenzetu Ugaibuni wametuzidi kwenye swala la uaminifu hasa kipengele hiki Cha Mapenzi yaani ukijua mapenz ni nini Kuna namna utakavyoyachukulia wenzetu wanaweza wakawa kwenye relationship ya muda mrefu yenye malengo

hiyo haitoshi ni waaminifu mtu anaweza mchukua mtoto wa rafiki yake wakike akaja Naye kutalii Africa Kwa siku kadhaa na asimfanye kitu

Sasa mkabidhi mtoto wako kijana wa kiafrica(tz) aende Naye utalii Kwa siku moja tu hahahahahahah rafiki yangu huyo lazima aliwe hata Kwa kunyweshwa kilevi lakini ni kwanini ni kuwa na uelewa mdogo juu ya Mapenzi

wanafunzi wafahamu kuhusu elimu hii kama zilivyo elimu nyingne Ili Nako pia waweze kufaulu kma wanavyofaulu masomo mengine,
unafikiri kwanini wazee wetu walikuwa wanalalia vitanda vya kamba sio kwamba walikuwa hawawezi kutengeneza vya mbao si kweli
ila walichukuwa wanataka ni kuhakikisha mke na mume wanakaribiana wanapokuwa kitandani ,kwasababu kitanda Cha kamba hulegea haraka zile kamba na kuwafanya wasogee katikati wote hata kma waligombana wakishasogea kati ugomvi lazima utaisha tu

na kitanda kilikuwa kinawekwa pembeni yaani ukutani kabisa means sehemu ya kupandia au kushukia lazima iwe moja sio Leo kitanda kikubwa na mnaweza lala bila hata kugusana na unaweza shukia upande wowote bila kumgusa mwenzako na asijue tu kma imeshuka n.k

B). UCHUMI(KIPATO)
Unapomwona mtoto wako anaakili za darasani usiridhike tu kuona anashika Namba moja mwambie hiyo namba moja Haina faida yoyte kwenye baadae yake kama hatokuwa na chaguzi nzuri za nini Cha kufanya Ili kuendesha Maisha yake ya baadae.

Tuna mifano mingi ya kuangalia Kuna watu ni wasomi wanavyeti vizuri lakini Maisha yao hayaendeshwi na taaluma zao , mfano mdogo Kuna huyu mwigizaji yupo kwenye tamthilia inaonyeshwa Azam two inaitwa Unfaithful yule volcan ni msomi wakitaja profile yake utasikia alisoma kitu Fulani lakini ana utajili wa 12+Billion kwasababu ya uigizaji.

C)MAHUSINO NA JAMII
Kwenye hili wasomi wengi wanatakiwa wajue kwenye kufanikiwa lolote huwezi ukiwa peke Yako lazima kuwe na watu nyuma Yako hata kma hawakushiki mkono

Yaani uwepo wao tu unakufanya upate sababu ya kufanya kitu Ili waone maana yangu ni kwamba shirikiana na jamii kwenye Kila jambo unaloona linahitajika wewe kushirikiana nao hii inakuwa nyepes kwako kupata watu wakuwa upande wako hata kinapotokea kitu Cha kukushauri.

My take kwenye hili tuandae kikazi chetu yaani watoto wetu wasije juta katika hayo maeneo maana nina uhakika katika 65% wasomi wetu Tanzania wapo kwenye hayo maeneo niliyoandika

Wewe umeona nini kwaoooooooooooooo.?

......................The great Geniogenije................
 
Sasa mbona mnatuchanganya mara walimu ni watu waliofeli… mara waliofaulu wote wamekua walimu… embu tuanzie hapa kwanza… nini ni nini?
Hahahahaha walimu sio watu waliofail sema ni dhana ambayo imejengeka masikioni mwa watu wengi ,
miaka ya nyuma ilikuwa mtu Ili asomee ualimu alikuwa akiwa na div 4 ya point 28-26 anasoma then anaweza kujiendeleza baada ya hapo

lakini Leo hii mwalimu anakuwa selected na selikar direct means kama tu aliomba hata kma ana div 1 hapo nimezungumzia Kwa walimu wa primary

lakin Kwa secondary ni zaidi ya hivyo kumbuka ni lazima awe alifika kidato Cha 6 means alifaulu vzr na baada ya hapo lazima atakuwa na degree au diploma ya ualimu.

Lakini jambo la kukuongezea Ili upate picha halisi kma mwalimu sio mtu aliyofail. Huwezi mfundisha mtu kitu usichokijua na ndio maana nchi zilizoendelea mwalimu anathaminiwa sana kwasabu ndio mzizi wa fani nyingne zote.
 
Yaani kipanga mimi leo hii baada ya kuzijua pombe uniambii kitu yaani nina mpaka timetable .

Vichenji sio vyangu ni urithi wa nguvu nilioutumia na wizi kwenye wizara .

Itoshe kusema hamnitishi na wala mimi siwatishi pia ila tusikariri mambo hayako hivyo .

Ningeongea kingereza kidogo kuwonesha nilisoma ila jua ni kali hapa nilipo tufanye siku nyingine

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
MAMBO MATATU(3) YALIYOJIFICHA KWA WATU WENGI WENYE AKILI ZA DARASANI

Habari mwana Jf nimekaa Kwa miaka kadhaa nmekua nikiandika orodha ya watu ambao nimewahi soma nao kuanzia elimu ya msingi hadi sekodnari kitu nilichokigundua kiliniumiza na kusikitisha sana hadi Kuna muda nikajiuliza Kwani akili za darasani zina faida Gani na kikanifanya nkuandikie haya niliyobaini lakini kuandika huku sio mwisho wa utafiti huu nakualika nawewe kama una experience yoyote kuhusu hiki nilicholeta mezani

1: watu wengi sana wenye akili za darasani yaani kufaulu mitihani ya shuleni Maisha yao baada ya shule Huwa ni ya kawaida sana katika Nyanja karibu zote ukitoa vile walivyokariri :-
a) Mahusiano(Mapenzi)
b)Uchumi (Kipato)
c) Mahusiano yao na jamii.

A). MAHUSIANO (MAPENZI)
Kwenye hili nimefanya uchunguzi wangu Kwa ndoa kadhaa na mahusiano kadhaa ya waliosoma na wenye akili za darasani Kuna shida kubwa sana isiyoelezeka na hii shida ipo Kwa namna tofauti:-

i)Kuna wanaoteswa sanaaa na Mapenzi yaani wanaumizwa sana na hawana ujanja hata wa kujua Namna ya kujitawala kwenye mahusiano na hii nmegundua inasababishwa na kuchelewa kwao kujua mambo ya Mapenzi
maana Hawa ndio wale ambao wakati tupo shule waliambiwa ukichanganya Mapenzi na masomo utafail

kwahyo hajui lolote anapokuja kwenye hii Field Sasa ndio anakutana na wabobezi wa mambo ya mahaba na ndio mwili upo kwenye kuhitaji basi wanapelekeshwaga kupita kawaida pande zote either awe mwanamke au mwanaume

ii). Na kundi lingine ni wale ambao Sasa wamefanikiwa kuoana, Kwa kawaida kwasababu Wana akili za darasani moja Kwa moja wanaamini Kila jambo lazima utumie akili

wanajikuta wanareason sana kiasi Cha kuharibu Maisha yao ya ndoa yaani Kunakuwaga na ujuzi mwingi sana

hawaonagi hasara Hawa kuwa hadi na timetable ya tendo la ndoa kama vile walivyokuwa na timetable za kujisomea shuleni

B)UCHUMI (KIPATO)
Kwenye huu upande ndio mahali ambapo panaumiza sana hasa Kwa Tanzania Kwa uchunguzi mdogo nilifanya wengi niliosoma nao nawewe hapo ulipo tafakari wale ambao walikuwa vizuri sana darasan utaniambia wameishia kuwa kina nani,
majority wamedondokea kwenye kazi ambazo hazikuwa matarajio yao,
yamkini hata wewe mwenyw unayesoma ni miongoni mwao yaani unakuta alikuwa na akili sana darasan lakini baadae unakutana Naye unasikia amekuwa mwalimu(usininukuu vibaya kusema mwl nimetumia huu mfano kwasabu ndio ajira pekee yenye majority ya watu)

na anamaisha magumu, au amesoma kitu kikubwa ambacho hakijampa ajira yoyte na Hana uwezo wa kujiajiri Kwa hiko.

Mfano: Darasan kwetu Kuna wafunzi watatu walikuwa wanafanya vzr sana wakafaulu mtihani wao wa F4 wakachaguliwa advance mmoja PCM,EGM,PGM. watatu Hawa wote ninavyoandika andiko hili ni walimu

lakini Drs hilohilo Kuna wanafunzi wawili mmoja alipata div 4 ya point 30 akasoma certificate ya umeme hivi ninavyoandika alipata kazi tanesco hata kabla wale watatu hawajamaliza chuo na analipwa vizuri kuliko wale watatu
na mwingine huyu alipata div 4 ya point 31 yeye hakujihusisha kabisa na mambo ya kusoma Tena alianza kujiingiza kwenye bongo movie Leo hii tumekuwa tunamwangalia kwenye video Azam tv tukiwa makwetu.

unaweza Anza picha ya kile ninachosema kuhusu akili za darasani

Kwa ujumla hili eneo la Uchumi ni teso kubwa Kwa wasomi wengi na wapo wengine hadi vyuoni Wana disco kabisa vyuoni na Maisha yao ndio yanabadirikia hapo alikuwa vzr darasani alipofika chuo anajikuta yeye ndio anajua kuliko lecturer watu wanapita nae. Na Maisha ndio yanapotea jumla

C). MAHUSIANO YAO NA JAMII
Hili la mwisho ndio tatizo kubwa ambalo naona linawakwamisha wenye akili za darasani wengi

Kwa kawaida watu Hawa wakiwa mtaani huwa wanaona watu wote ni wapumbavu hawajui kitu chochote Bali wao ndio top wanajua Kila kitu,

wakati mwingine mtu anaweza akawa anapotea watu wanamwacha kwasabu ya ujuaji wake, na hapa kwenye mahusiano na jamii kunanweza vuruga yote yaliyo juu hapo yaani A&B

unakuta mwanafunzi anachagua kitu Cha kusoma anashauriwa na waliomtangulia anawaona ma zwazwa hawajui kitu kuhusiana na kusoma kana kwamba hiyo elimu anayosoma ni mpya hakuna waliosoma kabla yake,

au unakuta amezama kwenye Mapenzi anataka kuoa wakati huyo anayetaka kumwoa au kuolewa Naye pale mtaani watu wanamjua vizuri kwamba hafai lakini hawezi shaurika

UTATUZI
A) Mahusiano (Mapenzi)
Kwa upande wangu nilichokibaini kujua jambo ni muhimu kuliko kutokujua jambo na ndio maana Leo kumekuwa na midahalo mingi Jf kuhusu uwepo wa Mungu n.k , maana yangu ni hii Mapenzi na shule vinaweza kwenda sambamba kama tu utaelewa maana halisi ya Kila kimoja kati ya hivyo na kujua nini kifanyike wakati Gani

ndio maana wenzetu Ugaibuni wametuzidi kwenye swala la uaminifu hasa kipengele hiki Cha Mapenzi yaani ukijua mapenz ni nini Kuna namna utakavyoyachukulia wenzetu wanaweza wakawa kwenye relationship ya muda mrefu yenye malengo

hiyo haitoshi ni waaminifu mtu anaweza mchukua mtoto wa rafiki yake wakike akaja Naye kutalii Africa Kwa siku kadhaa na asimfanye kitu

Sasa mkabidhi mtoto wako kijana wa kiafrica(tz) aende Naye utalii Kwa siku moja tu hahahahahahah rafiki yangu huyo lazima aliwe hata Kwa kunyweshwa kilevi lakini ni kwanini ni kuwa na uelewa mdogo juu ya Mapenzi

wanafunzi wafahamu kuhusu elimu hii kama zilivyo elimu nyingne Ili Nako pia waweze kufaulu kma wanavyofaulu masomo mengine,
unafikiri kwanini wazee wetu walikuwa wanalalia vitanda vya kamba sio kwamba walikuwa hawawezi kutengeneza vya mbao si kweli
ila walichukuwa wanataka ni kuhakikisha mke na mume wanakaribiana wanapokuwa kitandani ,kwasababu kitanda Cha kamba hulegea haraka zile kamba na kuwafanya wasogee katikati wote hata kma waligombana wakishasogea kati ugomvi lazima utaisha tu

na kitanda kilikuwa kinawekwa pembeni yaani ukutani kabisa means sehemu ya kupandia au kushukia lazima iwe moja sio Leo kitanda kikubwa na mnaweza lala bila hata kugusana na unaweza shukia upande wowote bila kumgusa mwenzako na asijue tu kma imeshuka n.k

B). UCHUMI(KIPATO)
Unapomwona mtoto wako anaakili za darasani usiridhike tu kuona anashika Namba moja mwambie hiyo namba moja Haina faida yoyte kwenye baadae yake kama hatokuwa na chaguzi nzuri za nini Cha kufanya Ili kuendesha Maisha yake ya baadae.

Tuna mifano mingi ya kuangalia Kuna watu ni wasomi wanavyeti vizuri lakini Maisha yao hayaendeshwi na taaluma zao , mfano mdogo Kuna huyu mwigizaji yupo kwenye tamthilia inaonyeshwa Azam two inaitwa Unfaithful yule volcan ni msomi wakitaja profile yake utasikia alisoma kitu Fulani lakini ana utajili wa 12+Billion kwasababu ya uigizaji.

C)MAHUSINO NA JAMII
Kwenye hili wasomi wengi wanatakiwa wajue kwenye kufanikiwa lolote huwezi ukiwa peke Yako lazima kuwe na watu nyuma Yako hata kma hawakushiki mkono

Yaani uwepo wao tu unakufanya upate sababu ya kufanya kitu Ili waone maana yangu ni kwamba shirikiana na jamii kwenye Kila jambo unaloona linahitajika wewe kushirikiana nao hii inakuwa nyepes kwako kupata watu wakuwa upande wako hata kinapotokea kitu Cha kukushauri.

My take kwenye hili tuandae kikazi chetu yaani watoto wetu wasije juta katika hayo maeneo maana nina uhakika katika 65% wasomi wetu Tanzania wapo kwenye hayo maeneo niliyoandika

Wewe umeona nini kwaoooooooooooooo.?

......................The great Geniogenije................
Unajulia kupangilia kuandika, ila mentality finyu na iliojaa wivu na umaskini, tambua Kila awaye yeyote yule ni mbegu ya Mungu yenye makusudi maalumu, hakuna bahati mbaya kwenye maisha, vinginevyo umkosee Mungu naye hukupa unachostahili muda wote 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa mbona mnatuchanganya mara walimu ni watu waliofeli… mara waliofaulu wote wamekua walimu… embu tuanzie hapa kwanza… nini ni nini?
Nini ni nini na nini ni nani..?
Na kwanini nini ni nani bila ya nini..?
Na kwanini nini ni nani bila ya nani..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom