Nina akili za darasani lakini wanawake wananikataa

Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia elimu yako kwa kungua Tuition uanze kujifundisha kuwatongoza wanafunzi wko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Academic performance hamaanishi una akili nyingi.
Halaf hiyo gpa 3.7 mbona ya kawaia mkuu. Watu wana 4.2 na kuendelea..teazile coz ngumu lakin bado walipata shida na wanawake.

Inaonyesha unacholack ni street skills. Kuna skills za darasan na skills za mtaa. Za mtaa zitakusaidia sana kupata vingi. Za shule tumia tu oficin
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo GPA ya 3.7 mbona ya watu wa kawaida sana me nilijua una first class
 
uwanja au njia unazotumia ndo unakosea
Kama unatumia akili kama njia ya kupata wasichana unakosea mda mwingine tumia hisia na sio akili mda wote
Au tafta wenye akili wenzako labda hapo mtaenda sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Academic performance hamaanishi una akili nyingi.
Halaf hiyo gpa 3.7 mbona ya kawaia mkuu. Watu wana 4.2 na kuendelea..teazile coz ngumu lakin bado walipata shida na wanawake.

Inaonyesha unacholack ni street skills. Kuna skills za darasan na skills za mtaa. Za mtaa zitakusaidia sana kupata vingi. Za shule tumia tu oficin

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hizo street skills nazipataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom