Nina akili za darasani lakini wanawake wananikataa

Nina akili za darasani lakini wanawake wananikataa

Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
ALIEKUDANGANYA KUWA AKILI ZAKO ZA DARASANI NDIO UTAPATA MWANAMKE UMEINGIA CHA KIKE, KWANI HUJUI AKILI ZA DARASANI MWISHO KWENYE FENCE YA SHULE AU GETI KUU LA KUTOKEA, MTAANI NI MAARIFA NA HIZO AKILI UNAZIBADILIJE KUTOKA DARASANI KUJA MAISHA YA KAWAIDA, BY THE WAYS SI KILA MWANAMKE UMTONGOZAYE AKUKUBALIE MAANA HATA SIMBA HAWINDI KILA SWALA NA NYAKATI ZINGINE ANAKOSA WINDO LAKE KAMA KAWA NA KURUDI KTK PRIDE YAKE KUJIPANGA UPYA, ELEKEZA NGUVU ZAKO KUTAMBUA MAPUNGUFU NA UWEZO WAKO NA ZAIDI AINA IPI YA MSICHANA UNAYEMTAKA UTAKAYEENDANA NAE (KWA TABIA ULIZONAZO WEWE) KISHA MTAFUTE KWA JUHUDI, LAKINI PIA KUMBUKA MAHUSIANO SI RAHISI HIVYO KAMA UNAVYOWAZA NDUGU, UKADHANI MSINGI NI SIKIO LA CHINI TU KTK MAHUSIANO, UTAPATA AMBA KATI MOJA KTK MAHUSIANO HADI UHISI KUFA KUFA KILA WAKATI, ZAIDI KAZANIA NDOTO ZAKO PIAH, GAWANYA NGUVU NA AKILI ZAKO BY USING SCALE OF PREFERENCE.
 
Kila unapoongea sentensi moja ya kiswahili unachanganya na kiingereza kisichoeleweka . Labda nikuulize ! Mfuko umejaa ? Kama umejaa nyoosha kiswahihi ni rahisi kuwanasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?
Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!
Nakosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna tatizo lolote mkuu. Many smart people are not romantic, because at the time you were building up your GPA you neglected building up some swag. Develop some swag, change the way you dress, the way you talk and be confident.
 
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

wanawake hawapendi vitu visivyoonekana.akili hazionekani.hela zinaonekana
 
akili hiyo ya kichwani ya darasani igeuze uipeleke kwenye kichwa cha chini kwenye zipu utazinduka tu toka usingizini
 
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimfua demu anza kutoa evidence ya continental drift theory demu atakuelewa
 
Wanawake huwa hawatafutwi zinatafutwa pesa
 
hahaha, Amefika, ila atakuwa ni wale wakimya, wakukaa na daftari hadi muda wa pumziko
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119]
 
Hahah, mbona hata za darasani bado huna, GPA 3.7 mbona umefeli mkuu

Back
Top Bottom