Nimuombe msamaha au nikae kimya tu na mimi?

Nimuombe msamaha au nikae kimya tu na mimi?

Na hii wanayosema "you must fight for love" inakuwaje hapa?

You only fight when the other person is ready to fight with you aisee! Mfano; ninyi ni wa dini tofauti au tribes, you love each other halafu wazazi/ndugu wanakataa. Hapo both of you can fight for that love..make it happen.

Au...at some point in you relationship mkajikuta mnatengana kijiografia. At this point 'fighting for love' ndo itaaply..in doing everything possible to keep that flame of love burning!


Huezi kuja unaniambia hunitaki halafu mi najidai am fighting for love.


Kitu ambacho kinatu-cost wengi ni kunga'ngania kupendwa tukiogopa kuumia. Fact ni UTAUMIA mkiachana ila ni heri maumiu hayo hayadumu sana kuliko kuishi kama nguo iliyoanikwa bila kibanio!!!
 
Mkuu unajitambua? Kama ubajitambua naomba jibu, ukinijibu nitakushsuli nn ufanye. Swari wewe ni TIMAMU au ZEZETA?
 
hivi nashauriwa au nasimangwa hapa?
 
Mkuu pole sana. Dawa ya moto ni moto, akifunga vioo we piga tinted kabisa... Muache kimya kimya tu... Akishtuka atajifunza...
 
Sema ni malaya mwenzako sio mpenzi. Kuna upenzi gani bila ndoa tena wa miaka mitano. Pambafff kabisa wewe.
 
kwani perry huwa ni ke au me

Hahaha. Perry ni ME bana. That hat, the attitude, nature ya kazi yake.

agentp2.png
 
Ukiona mapenzi yanakuumiza na kukutoa machozi jiulize unapenzika na mtu au kitunguu kisha chukua hatua.
 
kupotezeana muda kupo bt kusizidi sana 'follow ur heart take ur brain with you' usikubali mtu akupotezee mda unaweza ukamsoma mtu within mean time na ukiona anasita au haeleweki, kwanini azidi kukupotezea mda? funguka! angalia kwingine!
 
Hapo mwenzangu chapa lamba tu tuamini kuwa hapo kuna mtu mwengne hta picha hauoni mwenzangu
 
Habari za mihangaiko wenzangu?

Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.

Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.

Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.

Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?

Hahahahaaa polee weee...
 
Tafuta pesa atarudi mwenyewe na wala hutotumia nguvu nyingi kumiliki.
 
Miaka mitano yote hujamuoa unamfanyia utafiti au unadubiri akue. Huoni aibu kusema uko nae miaka mitano. Muoe, umri wake unaebda, wanaontaka wapo wengi kama huna mpango wa kumuoa mwache. Tena abadili na namba kabisa usimpate. Nyie ndio mnachezea watoto wa watu kwa kufanya vya ujinga ujinga. Mdada ukisoma hapa badili hamba na usimtafute kabisa. Analeta uhuni huyu.
kwa ufupi, uwe me au ke huyo mpnz wako KAKUCHOKA, HAKUTAKI
 
Back
Top Bottom