Nimuombe msamaha au nikae kimya tu na mimi?

Nimuombe msamaha au nikae kimya tu na mimi?

Hivi hao wazazi hawana kazi za maana za kufanya? Hivi kweli wazazi hao wanakubali mtoto wao anachezewa tuu miaka mitano tuuu? Nilitegemea wawe wasuluhishi kwa watu walio funga ndoa lakini sio kwenye huu upuuzi unao uhita uhusiano unao fanana na course ya udaktari!

Hivi kwanini usimuoe tuu? Miaka mitano bado tuu? Uombe msamaha kwa kosa lipi?

Pengine anafanya kusudi ameona unampotezea muda tuu na ndoa utangazi....

Umemaliza, yan angekuwa karibu ningempa keleb 1kwanza seriously upo in relnshp 5yrs hakuna ndoa? yawezekana kwel tabia zako zimekuwa hazieleweki pia haoni dalili ya ndoa afanyaje?
Kama unampenda kweli mfuate huyu dada uzungumze nae la umetingwa tafuta muda mpigie simu zungumza nae akueleze kukaa kimya na wewe si dawa.
 
Miaka mitano yote hujamuoa unamfanyia utafiti au unadubiri akue. Huoni aibu kusema uko nae miaka mitano. Muoe, umri wake unaebda, wanaontaka wapo wengi kama huna mpango wa kumuoa mwache. Tena abadili na namba kabisa usimpate. Nyie ndio mnachezea watoto wa watu kwa kufanya vya ujinga ujinga. Mdada ukisoma hapa badili hamba na usimtafute kabisa. Analeta uhuni huyu.
kwa ufupi, uwe me au ke huyo mpnz wako KAKUCHOKA, HAKUTAKI
 
Hakuna mapenzi ya mbali. mapenzi ni kuwa karibu baana! yani we uko dar mwenzio yuko sijui mpanda then mnasema ninyi ni wapenzi? Hapana. me nyote nishamasoma. ni hivi: wewe una mchepuko wako, nae baada ya kukugundua na yeye kishapata mchepuko wake. dawa ya moto ni moto
 
Huyo anaringa tu, na ht hvyo miaka yote hyo mitano mlikuwa na mipango gn!? maana uckute binti kaona unamuweka tu, kapata mtu mwngne mwenye mipango ya haraka na yey.. Kuwekana sn hakufai ndio maana wengne huamua kuishia njian kweny hyo safar icyojulikana mwsho wake n nn
 
Habari za mihangaiko wenzangu?

Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.

Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.

Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.

Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?

Km ulikuwa una tatzo la kifamilia je ulimshirikisha? au ndio ulijiamulia tu mwenyew kwnda kutulia na familia yako bila kumpa taarifa? Km matatizo yenu hadi familia zenu huyaingilia kati kuwasuluhisha then kwann hukumshirikisha?? Mfuate mkaongee, umueleze what happened. Na anaweza akakuelewa iwapo tu km hujawah kumcheat kabla, maana moyo wa m'mke n wa ajbu sn km ulishawah mcheat mara moja na akajua bas uctarajie atakaa akuamini tena..!! Kakae muonge ana kwa ana na cyo cmu.
 
Habari za mihangaiko wenzangu?

Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.

Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.

Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.

Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?

Tatizo lenu ni dogo sana. Hakuamini. Distance inaweza ikawa sababu. Kama unampenda kweli nenda mpanda shinda naye weekend nzima. Muulize kwanini anadhani unacheat mwachie afanye lolote ajiridhishe kama haucheat prove it to her. Halafu mwambie kitu gani hupendi katika mapenzi na yeye akuambie. Na muuulize ni nini anataka umtimizie katika mapenzi yenu ili muwe na furaha na yeye piwe vivyo hivyo. Hapo mtakuwa mmeelewana. Mwenzako inaoneakana ana hasira na wewe na kitu umemkweza ila anashindwa kusema. Na mwambie malengo yako na yeye ili akwambie kama inawezekana or not if not na umefanya yote hayo. We nenda tu. Ila women want tu to go an extra mile kama unampenda. Na acha kuwashirikisha wazazi na ndugu katika matatizo yenu. Kuwa mkali kimwanaume mkalishe chini mwambie nini shida. Ukimaliza mtoe dinner. Atanyoooka
 
1. Distance love never work.

2. Huna haja ya kuomba msamaha labda uwe umetuficha kitu.

3. Inawezekana anatafuta shari muachane kwasababu amepata wa kukureplace.
 
Missing you darling

i-miss-you.gif
 
Sasa wewe mpenzi miaka mitano nani anataka kupoteza muda?huoi wewe ni lifetime lover
 
Kobe hana.kawaida ya kupanda juu yamti, ukimwona yupo juu ya mti basi uje kuna mtu kampandisha. Penzi linapata uhai pale wapenzi mnapokutana mara kwa mara.mara nyingi mapenzi ya watu walio mbali hayadumu.hiv unategemea mwanamke akiwa na ashki akusubiri mpaka wewe urudi saa ngap? Lazma atafute mtu wa kureplace. Na penzi changa siku zote lina nguvu. Lazima akusahau tu! Katika mazingira kama hayo lazma atakua na mtu anaempa jeuri.
 
Cha miaka minne kwel ni mingi ila bora aende tu usilazimishe penzi mbona wamejaa unajistress yakazi gani ?? Maisha ndio haya haya
 
Huwa naamini mtu akishafikia point ya kuzingua au kuonyesha kuachana, hakunaga sukuhisho zaidi ya kuachana. Usilazimishe kama vile una hati miliki ya BASATA na TRA
 
@perry "nimuombe msamaha au nikae kimya .."

- Unamuomba msamaha kwa kosa gani ambalo hujatueleza?

- au wewe ni wale ukisusiwa tu unaanza kuandika mameseji mia mia, "naomba unisamehe kama kuna kitu nimekukosea". Halafu hiyo tabia ya kuomba msamaha kwa vitu vya kufikirika nilidhani ni ya wanawake tu hadi wewe wa kiume!!!

- haya bana..kila la heri hiyo nauli ya kwenda Mpanda si heri uende zako Zanzibar ukapumzike for a weekend aisee!!!!

- Mwanaume ni kujiamini, akitingisha kiberiti, wewe unatoa njiti unawasha kabisa!!! dah...nimesikitika! At first nilidhani "Perry" ni wa kike!!!! #sad

Hata mimi nilijua ni wa kike dah!

Yaani anapoendelea kumfuata fuata tu ndio anaongeza matatizo, maana mwanamke akijua tu kuwa unamng'ang'ania inakuwa ni shida.
 
Hata wewe unampa lawama za bure mwenzio anakuhisi wewe ndo chanzo na wewe unamhisi yeye ndio chanzo hapo jibu ni dogo sana fanya mpango muwe mnaishi pamoja hautaona hayo yote
 
Habari za mihangaiko wenzangu?

Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.

Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.

Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.

Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?

Kaa pembeni....ushauri wangu....avoid distance relationsh ...na avoid uchumba wa muda mrefu...uchumba sugu....
 
Back
Top Bottom