Nenda mpanda, ukikuta buti za mwanaume chini ya kitanda utupe mrejesho
mnataka akafe kwa presha mwenzenu ila mpk mpenzi wako anakublock kwenye simu ujue hapo hamna kitu hakuhitaji hata kidogo
tehteh........manyoya.......
![]()
Kama vipi fuata maisha yako kwani wameisha mkuu
Moyo una king'ang'anizi sana
Mtembelee ghafra anapoishi,hapo ndo utapata majibu na uamuzi wa kuchukua!,lakini pengine huu uchumba wa miaka 5 umemchosha..
Habari za mihangaiko wenzangu?
Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.
Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.
Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.
Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?
Ila hawezi kosa cha kujitetea teh...atasema hata mvua ilinyesha vikaja na maji hapo kwake

Ha ha ha automated loltehteh...automated boots..
mapenzi ni majinga sana kuna jamaa mmoja alimfumania mke wake akaita wazazi wa pande zote kwenye kikao baba yake akamwambia kama anakusaliti mie nashauri umpe talaka. Jamaa akasema kumwacha siwezi nimewaita mumuonye tu ila nampenda sana siwezi kumuacha. Baba yake aliinuka akaondoka kikaoni akasema nimezaa zezeta
Habari za mihangaiko wenzangu?
Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.
Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.
Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.
Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?
poa mkuu asanteKtk mapenzi kupotezeana muda kupo.. Ila pole sana maana kwa wanawake ukipoteza mda unakuta na chances zako nyingi kufanya maamuzi sahihi ktk mahusiano unayotaka znapungua mana unajikuta desparate kama wazungu wanavyosema.
Cha kufanya kaa ongea na mwenzako ana plan zp na ww, muambie unalokwazika nalo. Ukiona amekuwa don't care basi focus na maisha yako zaidi hafu aache fate iamue.
Na hii wanayosema "you must fight for love" inakuwaje hapa?You cant chase love. Be cool and love will find you. Let her go, if she is yours she will come back mwenyewe. Unaumia kwa miaka minne uliyokuwa nae, hapo unalilia maumivu ya moto kwa miaka yako iliyosalia duniani.