Mapenzi au mahusiano ni kama kazi nyingine tu, inahitaji uvumilivu hasa kwa uliye na malengo nae (kwa wanaume)

GONZZ EPACLEM

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
312
239
Habari wana JF
Kichwa cha uzi chajieleza vyema sana hasa kwa sisi vijana ambao tupo katika kipindi kilichojaa majaribu na majeraha makubwa linapokuja suala la mahusiano kwa tuwapendao.

Kumekuwepo na wimbi kubwa sana la vijana kuleta nyuzi za aina tofauti tofauti wakielezea maswahibu yanayo wapata kwa wenza watarajiwa wao, hasa kutendwa ama kushindwa kuvumilia matendo wanayotendewa na wenza wao watarajiwa hasa ni kutokana na wimbi kubwa la MABAHARIA kutapakaa kila mahali.
Mabaharia ndio kundi lililopo sasa Tanzania likiwa na kazi maalumu tu ya KUMVUA mwanamke na KUMUACHA AKIVAA MWENYEWE bila usadizi wa baharia.
Limekuwa likitumia gharama yoyote kumpata mwanamke ili tu lihakikishe linapata chochote PAPUCHI ili kumaliza haja zake.
Kwa bahati mbaya wanawake wamekuwa wahanga wakubwa wa kurubunika na hili kundi kutokana na hali halisi ya kimaisha na uchumi wa kati kwa kila mtanzania.
Kutokana na wimbi kubwa la mabaharia kuwarubuni akina dada kwa pesa, limesababisha pakubwa sana akina dada kukosa msimamo wa dhati kwa wapenzi wao na kujikuta wakikosa mvuto kwa wapenzi wao wa faida ama wa malengo, na hujikuta waki ofa Papuchi zao kwa mabaharia ambao huwatumia kwa muda na kuwabwaga kwani kanuni ya baharia ni KUMVUA mwanamke na kumwacha akiwa na lindi la mawazo nini kimemtokea na kujikuta akimkumbuka X wake wa malengo ili hali alimwacha kwa dharau na kujiona kafika kwa BAHARIA😂
Mwanamke ukiwa nae kwenye mahusiano kabla hujamuoa ni kama mtj ukiwa katikati ya poli nene ambapo kila mmoja hupanda kuukata kabla haujakatwa na mtu mwingine, na wakati wapo wa aina nyingi, kuna wakati ambao wataufyeka kabisa udondoke na kuna wakati watao kata kwa kuu pruni yaani kukata majani na baadhi ya matawi lakini utabaki na kuchipua tena,
Mwanamke hawezi shindana na mapigo ya wanaume kumi kwa kupangua hoja zao wanapo mjia DM au PM yake, zaidi ili aepuke hayo ni lazima awe makini na mawasiliano yake hasa social media na kugawa contact zake kwa wanaume.
Dhima ya andiko hili ni kwa vijana kuvumilia na kutokata tamaa kuamua kumwacha mwanmke unayehisi kuwa anaweza kuwa mwenzi wako, wanawake wamezungukwa naajaribu mengi na vigumu kuyavuka ila kwa kudura za Mola tu, dunia ya sasa unaweza susia wengi na usipate hata mmoja unayedhani atakuwa sawa 100% hii ni kwa sababu ya technolojia kukua na kuwawezesha bjnadamu kutengamana na dunia, tutaacha wanawake wengi kisa hawana uaminifu, si wa wakweli, wasiri, hatuwezi tena kurudi miaka ya 1960 ambapo wanawake walitii wanaume na kutokuchati ama kuwasiliana na wanaume wengine, hatuwezi kuleta tena msawazo kama watoto wenyewe wana angalja public figures za kitanzania hasa wasanii na kupata kujifunza chochote kile cha maana, hakuna tena mwanamke wa peke ako, kila mwanamke unayemwendea kasha megwa na wamegajj wamekaa pembenj tu wanakuchora na ukija kumuoa hatoweza kukataa kupasha kiporo kwa x wake wa zamani,
Kwanini nimefananjsha mapenzi au mahusiano, kwa mfano, katika biashara kuna changamoto nyongi sana kibiashara, mara kukosa wateja, hujageuka TRA wameingia, hujajipanga serikali inakutaka ukate leseni ya biashara yako, bado kodi ya pango la biashara, mara umepigwa mzinga na dada aljyekuja kukuungisha biashara(kwa vijana wa kiume macho kodo), bado mchango wa umeme kwa pango la boashara lakini tunavumilia sana kuendana na mabadiljko ya kikodi na uchumi wa nchi,
Kwa sisi saidia fundi, matusi ya fundi tunavumilia, kucheleweshwa kwa fedha na boss tunavumilia sana, kubeba zege kichwani kumwaga jamvi tunavumilia tu, kubeba tofali inch 5/6 tunavumilia sana,
Kwa upande wa barabarani, makondakta kubezwa na kudharaulika, vikwazo vya matrafic barabarani lakini tumo tu, kupelea kwa pesa ya boss jioni unaamua kukopa uongezee ili hesabu ya boss itimie tu ila hatukati tamaa,
Kwa upande wa maofisini, misuguano ya maofisini na vikumbo makoridoni tuna vumilia tu, kukatwa kwa 15% retention fee HESLB tunapambana nayo tu, kufanya kazi kwa matamko na hofu kutoka juu lakini tumo tu huku tukijipa matumaini mitano tena,
Nini mantiki ya uzi huu,
Ni kwamba vijana tukubaliane na hali halisi ya dunia inavyoenda kasi na tukubaliane na aina ya zinazojitokeza katika mapenzi na mahusiano yetu ya sasa.
Cha msingi mweke mwanamke kama kiota cha kuatami mbegu zako akutotolee mtoto au watoto ili kuhakikisha kizazi chako kinaendelezwa au kinaendelea katika uso wa dunia huku ukimhudumia pasipo kumtelekeza ama kutaka kujua anafanya nini nyuma ya pazia, utaendelea kupunguza muda wako tu wa kuishi duniani ukiendekeza kumchunguza mwanamke,kipindi hiki cha dijitali mwanamke hachunguziki kijana mwenzangu.
Tuendelee kuwasihi na kuwasihi kuhusu kesho yao,
Single mama inawatesa sana, hawawezi kulea watoto, wanajutia wengi kujichanganya kwao kuofa papuchi zao kwa wapita njia, huku mitaani wanatia huruma sana hasa kipindi hiki cha MITANO tena,

Kuhusu maumivu na misongo ya mawazo, tuepuke vipi kuona mpenzi wako anakucheat ama vyovyote vile, we mchukulie kama kiumbe dhaifu tu na utafute namna ya kupunguza stres zako ikiwa ni pamoja na kutembelea JF mara kwa mara pale unapohisi kutatizwa na mapenzi,
JF ina vionjo vya kumsahaurisha mtu machungu na maumivu ya aina yoyote ile, JF ni daktari

Nawasilisha hoja
 
Kabla ya kupitia kipindi kinachohitaji uvumilivu, mahusiano yenu hayajapimwa ukomavu.
 
Nijuavyo mimi na akili zangu za kukopeshwa, mwanaume ndio kichwa cha familia. pili, mwanaume ndio mwenye maamuzi, atongoze, agonge na kusepa, aoe yote yako mikononi mwake mwanaume. Sikatai tupo wanawake tuliojilipua kutongoza wanaume, though idadi ni ndogo.

Mwanaume huyo huyo aliyeumbiwa mateso, anatakiwa awe na ufahamu ulipitiliza kujua anahitaji mwanamke wa aina gani? Aliesoma/asiesoma, mwenye wowo kubwa, anayvaa mawigi, anayeweka kope na kucha za kubandika, anayeendesha gari zuri, mwenye heshima, anayejituma kwa hali na mali, ana uwezo wa kufikiri bila kufikirishwa, ni mpole na mnyenyekevu, mwenye mvuto na mengineyo.

Mwanaume wewe huyo, una kazi ya kuwa fortuneteller, abrakadabra, msoma nyota kujua hasa kilichoko ndani ya yule mtu unayehitaji kuoa. All in all mwanaume ndio mwenye maamuzi yote katika hili sakata la mapenzi.

Sasa basi, shida inaanzia kwenye vigezo na masharti mliyojiwekea, kwamba unataka mwanamke wa aina gani, unasahau key points zinamtengeneza mwanamke. Mwanaume kama mwanaume akisema anapenda wowo kubwa, sidhani kama atakumbuka kuangalia vigezo vingine zaidi ya kigezo alichojiwekea cha wowo kubwa.

Ukitaka kuingia kwenye mahusiano; kama mwanaume ainisha vigezo unavyotaka mke/girlfriend wako awe, kumbukwa mwanaume ndio anapropose kuoa (sijui kama napoteza network kwenye hili au niko sahihi).

Ngoja niishie hapa kwanza ninywe maji.
 
Wew calorine, mbona una akili sana kuliko wanawake wote hususani kwenye kumjua mwanaume nini mahitaji yake?
Anyway umenivutia sana ni ningependa wanawake wote wangekuwa kama wewe aisee

Ila sasa kwetu madume gonga🙏 kwake Calorine
 
Hii siyo akili yangu bosi, natumia muda mwingi kusoma vitabu, naomba na wewe nikumegee kidogo, kasome hiki kitabu ili umjue in and out huyu mwanamke uliyeambiwa uishi nae kwa akili. Pili, hakikisha na mwenza wako anakisoma ili mwende sawa. "WHY MEN DONT LISTEN AND WOMEN DONT READ MAPS"
 
Asante sana
Nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom