Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,354
Habari za mihangaiko wenzangu?
Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea yatokee haya yaliyotokea kipindi hiki sasa,nikiri tu kwamba katika mahusiano yetu kulikua na viugomvi vya hapa na pale ingawa tulikua tunasuruhishana wenyewe na maisha yanaendelea kama kawaida.
Tatizo hasa limeibuka mwaka jana mwishoni baada ya mwenzangu kunishuku kuwa nacheat ingawa haikua kweli kabisa,nilikua na family issues ambazo zilinifanya muda mwingi kuutumia nikiwa karibu na wanafamilia wangu,ikumbukwe mapenzi yetu ni ya distance me niko Dar na yeye yuko Mpanda.
Basi tangu hapo ukatokea ugomvi wa halia ya juu mpaka wazazi wake wakajua na wakatusuruhisha yakaisha ila tangu pale akawakachange mara aniblock kwenye simu na mamambo mengine ya mauzi, wazazi wake wakimmuliza kama ana mtu mwingine anasema hana zaidi yangu na ananipenda sana, mwezi wa uliopita tumegombana kidogo tu kanidhiria na kaniblock tena kwenye simu mpaka leo.
Wakuu mimi kinachoniuma ni muda niliotumia kuwa nae tu ila mwenzangu anaonekana tayari ana mtu wake huko, nifanyaje?