Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

kabla ya kulalamika kwanini Mkono amepata fedha zote hizo, unapaswa kujiuliza Valambia alikuwa akiidai serikali kiasi gani?
hawa mawakili wanalipwa kwa kutegemea the amount of money involved in a dispute.
 
Kwa upande wake, Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), akichangia makadirio ya wizara hiyo, aliwataka Watanzania kubadilika na kuacha kununua malighafi kutoka nje ya nchi na badala yake watumie za ndani.

Alitolea mfano viti na kapeti la Bunge pamoja na suti za watu wengi waliovaa, kuwa ni malighafi kutoka nje hali inayochangia Shilingi ya Tanzania kushuka. "Wakoloni zamani walikuwa wakitumia malighafi za hapa kwetu na kutengeneza makochi, meza, lakini sasa hivi tunapenda vitu vya nje mpaka dawa ya mswaki," alisema.

Siye huyu mbunge ambaye anatumia kampuni yake kujitajirisha yeye mwenyewe binafsi na kuwatajirisha wageni kutoka nje kwa mikataba mibovu? Siye yeye aliyetumia kampuni yake kuihujumu Tanzania kwa mikataba mibovu? Huyu mzee ni sawa na ukoma ukikuingia hautoki.
 
Siye huyu mbunge ambaye anatumia kampuni yake kujitajirisha yeye mwenyewe binafsi na kuwatajirisha wageni kutoka nje kwa mikataba mibovu? Siye yeye aliyetumia kampuni yake kuihujumu Tanzania kwa mikataba mibovu? Huyu mzee ni sawa na ukoma ukikuingia hautoki.

Alikuwa anatetea kura (kula) yake ya Musoma Vijijini ili 2010 asije akapigwa dafrao. Baadhi ya wanasiasa ni wa kuogopa kama ukoma maana wanachokisema kiko tofauti na kile wanachokitenda.

Kwenye majukwaa wanahubiri kupiga vita rushwa but wakiingia ofisini ndio wa kwanza kuvuta zile rushwa nzito za mabilioni ya shilingi. Na hao ndiyo wengi waliojaa serikalini na wanatumia fursa hiyo kujitajirisha!
 
Questions Mkono won`t answer about Bank M: Still precious little is known about new bank as launch date draws closer

KEEPING MUM: The registered office of Bank M (left) and its branch in another part of Dar es Salaam (right). Occupying centre stage is prominent city lawyer, member of parliament, and Bank M shareholder Nimrod Mkono, who is also understood to be the bank�s spokesman.
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE upcoming Bank M (Tanzania) Limited, whose registered office is located at a building owned by former president Benjamin Mkapa in Dar es Salaam, has for more than two months failed to respond to valid queries about its current status, operational plans and shareholding structure.

On May 23 this year, THISDAY submitted a set of written questions with an urgent note by dispatch to prominent city lawyer Nimrod Mkono - identified as the bank’s official spokesman � seeking clarifications on a number of key issues regarding the new bank.

However, the questions have gone unanswered so far.

When contacted by phone by THISDAY at one point, one of the bank’s stated major shareholders, Jeetu Patel, declined comment on any questions with the refrain that Mkono, who is also the Member of Parliament for Musoma Rural Constituency, was the bank’s spokesman.

THISDAY then proceeded to deliver written questions to the offices of Mkono and Co. Advocates in the city, seeking information about the owners and shareholders of the bank, its current licensing status with the Bank of Tanzania (BoT), and other aspects of its planned operations.

While response from Mkono’s office has not been forthcoming, it is understood that Bank M has now opened another branch along Nyerere Road in the city, in what appears to be advanced preparations for a grand launch in the near future.

Amongst other matters, the questions from THISDAY to Mkono included inquiries about the backgrounds of some of the bank’s stated shareholders.

Under the Banking and Financial Institutions Act of 2006, individuals with criminal records or who have ever filed for bankruptcy are prohibited from becoming shareholders of a registered bank.

Around the same time that THISDAY delivered its questions to Mkono, similar queries were also made directly to the BoT Governor Dr Daudi Ballali, also in the form of written questions sent by dispatch.

However, Ballali has also failed to respond to the questions on whether or not (and if so, when) the BoT granted a licence to Bank M allowing it to operate as a commercial bank.

The BoT boss was also asked if the central bank had done a thorough background check on the bank’s registered shareholders. But again, there has been no response.

At a recent press conference in Dar es Salaam, Ballali dodged questions about Bank M and instead challenged anybody with evidence against the bank to send the proof to his office.

According to our findings, Bank M Limited has a listed share capital of 6.5bn/- and its shareholders include some very prominent business people in the country.

By February this year, the shareholders were listed as Jayant Kumar Patel (alias Jeetu Patel) of Noble Azania Investments Limited; Vimal Mehta of Negus Holdings Limited; and Fidha Rashid, a leading real estate developer and car dealer from Africarriers Limited.

Also linked to the new bank is Mkono, whose law firm (Mkono & Co. Advocates) drafted the memorandum of understanding and articles of association for the proposed commercial bank.

Mkono also holds a significant amount of shares in Bank M through Equity & Allied Limited, another of his companies. Other listed shareholders of the bank were Mr Sanjeev Kumar, a local banker, and Mr Bhaskaran Nair, a business executive.

The amount of listed share capital invested by each shareholder in the business venture is as follows: Negus Holdings Ltd (1.3bn/-), Noble Azania Investments Ltd (1.3bn/-), Africarriers Ltd (1.3bn/-), Equity and Allied Limited (1.3bn/-), Mr Kumar (650m/-) and Mr Nair (650m/-).

The registered office of Bank M is located at an inconspicuous, two-storey building with the physical address of Number 8 Ocean Road, in the quiet and affluent Seaview neighbourhood of Upanga in the city.

The building is right adjacent to the official residence of former president Mkapa and first lady Mrs Mkapa. It is understood that the former State House couple also owns the building, bought with certificate of title number 6809 from a private company, Tanzania Building Works Limited, in 2002.

At that time, Mr Mkapa was still the sitting president of the United Republic of Tanzania, while Mama Anna served as the country’s first lady. The couple completed two full five-year terms at Ikulu, as per constitution, in 2005.
 
Kaamua kufanya mkutano na waandishi wa habari...

Kwa mujibu wa Mwananchi...
Mkono: Mkapa si mmiliki wa Benki M
Na Mkinga Mkinga

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, amekanusha madai kwamba benki M inamilikiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, na kusisitiza kwamba benki hiyo imekodi jengo tu kutoka kwa Rais mstaafu huyo.

Amesema benki hiyo imekodi jengo ambalo inaendeshea shughuli zake za kibenki jengo hilo liliko Sea View, Upanga jijini Dar es Salaam.

Mbunge huyo alisema shutuma zimekuwa zikielekezwa juu ya umiliki wa benki hiyo ambayo jina la �M� limekuwa likihusishwa na watu mbalimbali kutokana na hisia za watu wenyewe.

Alisema katika utafiti ambao ameufanya, ameweza kubaini kwamba baadhi ya benki hapa nchini zinavitumia vyombo vya habari kuichafua Benki M, akawabeza wanaotaka kujua mmiliki wa benki hiyo ni nani, akisema waende katika benki nyingine na kuandika majina ya wamiliki wa benki hizo.

Mkono alisema wapinzani wake wanaogopa kutokana na utendaji kazi wake, akisema benki hiyo inafanya kazi saa 24, siku saba kwa wiki tofauti na benki nyingine nyingi nchini ambazo huenda likizo siku za mwisho wa wiki.

�Wapinzani wangu katika biashara wanahofia uhusiano mzuri uliopo kati ya makampuni yangu pamoja na wanahisa katika Benki M kwamba utasababisha amana katika benki zao zishuke, maana mtaji katika benki sio kitu ila amana ndizo zinazofanya benki izidi kuwepo,� alisema.

Aliongeza kuwa benki nyingi zimepatwa na mshituko baada ya kuanzishwa kwa benki hiyo, hivyo kuanzisha mikakati kuhakikisha benki hiyo inakufa. Alisema jina M linatokana na dhana ya beki hiyo kuwa mkombozi wa Watanzania wa mijini na vijijini.

�Mkombozi benki imeanza kufanya kazi, na tunafanya kazi saa 24, siku saba za wiki, lengo ni kuwafikishia wananchi huduma nzuri pamoja na kuwafikia wananchi wengi zaidi, sasa lazima wapate wasiwasi na kuanza kutapatapa,� alisema Mbunge huyo.

Alisema kumekuwepo na uzushi kwamba benki M inamilikiwa na Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alakini akabainisha kuwa Mkapa hahusiki na lolote na benki hiyo mbali na kuwapangisha katika jengo lake.

Alisema inasikitisha kuona miaka 45 baada ya uhuru, bado Watanzania wanakuwa na mawazo ya kutawaliwa kifikra na wazungu, ama rangi isiyo na asili ya Afrika, kiasi cha kutaka kuwajua wamiliki wa benki hiyo.

Februari mwaka huu, wanahisa wa benki hiyo walikuwa wameoredheshwa kuwa ni Jayant Kumar Patel (au Jeetu Patel) wa Noble Azania Investments Limited, Vimal Mehta wa Negus Holdings Limited na Fidha Rashid.

Mkono pia anamikili hisa nyingi katika benki hiyo kupitia kampuni yake ya Equity & Allied Limited huku wanahisa wengine wa benki hiyo wakiwa ni Sanjeev Kumar ambaye ni mwanataaluma wa benki, na Bhaskaran Nair.

Kiasi cha fedha kilichoonyeshwa kama mtaji wa kila mwanahisa ni kama ifuatavyo; Negus Holdings Limited Sh1.3 bilioni, Noble Azania Investments Limited Sh1.3 bilioni, Africarriers Limited Sh1.3 bilioni, Equity and Allied Limited Sh1.3bn, Kumar Sh650 milioni na Nair Sh650 milioni.
 
Kwani hii benki ina matawi kila mkoa, ama ndio kutaka kuanza kujifagilia mapema mapema?
 
1714.jpg

Picha ya Nimrod Mkono akizungumza na waandishi wa habari mapema leo kuhusu Bank M (inadaiwa M.. inasimama badala ya Mkombozi)Picha kwa hisani ya Mroki Mroki
 
Si unaona hiyo body language kijambazijambazi tu. Hao wahindi ndio siku zote wamekuwa wanawatumia viongozi walio madarakani kujitajirisha kwa kutumia nafasi zao vibaya.

Kama kweli yeye anataka kuwasaidia WTZ kwa nini hasamehe marupuruu yake anayopata na kujitoa kwenye Ubunge ili aweke ushindani mzuri kwenye level playing ground na kuacha kujificha kwa mgongo wa Ubunge.

Alisema inasikitisha kuona miaka 45 baada ya uhuru, bado Watanzania wanakuwa na mawazo ya kutawaliwa kifikra na wazungu, ama rangi isiyo na asili ya Afrika, kiasi cha kutaka kuwajua wamiliki wa benki hiyo.

Mtakumbuka nani alikuwa anavaa kofia kama aliyovaa --tarabush sasa nani ana kasumba hapa?
 
Wandugu,
1. Kila Mwanadamu ana mapungufu yake- na nikiona Mtanzania anajitahidi ktk kuwekeza hapa Tanzania napata faraja kiasi!

Nchi nyingine kama SA through black empowerment- Ciril Ramaphosa, Tokyo Sexwane n.k wamepiga nao hatua kubwa! Sisi Tanzania pia we need a critical mass ya wazalendo! Tusifurahie tu huwafuta miguu Wazungu, Makaburu, Wahindi na Waarabu! Kwa hili la benki yawezekana anatumiwa kwa manufaa ya wengine!

2. Swala la kujiuliza hapa ni kama Mkono amepata mtaji/utajiri kihalali! Alianza kupractise tangu 80's- na alikuwa CEO wa Euro African Benki. Pia ktk Sheria amekuwa active mda mrefu- angalia mkono.com. Pia amekuwa mbunge na kujenga shule nyingi huko Mara kwa kutumia utajiri wake and his connections!

Endapo amepata kihalali- sijui- ila wazo la kuwa na Watanzania Wazalendo wanaowekeza Bongo- ni zuri! Pia huyu jamaa amehusishwa na skendo ya BoT. ktk tuhuma.

Ukiangalia Law Firm yake ina wafanyakazi wengi- hata zaidi ya 30 (Waafrika, Wazungu, Wahindi)- na imekuwepo tangu mda.

This guy is innovative and enterprising! Pia he is bold and connected!
We wait and see the way things emerge!
 
Kwa kweli tunakwenda kubaya sio utani,nchi imeingiliwa huko kwenye mabenki ya watu binafsi kuna mengi yanafanyika habayo kwa mtu wa kawaida hawezi kujua mpaka uwe kwenye hiyo system unaweza kupata hints kidogo.lakini kuna biashara chafu zinafanyika huko.
 
sheria inakataza watu wenye historia ya uhalifu au waliowahi kufilisiwa kuwa na hisa katika mabenki, kwanini mwanasheria Mkono anawalinda wana hisa wenzie wakati akijua kabisa historia yao siyo siri?
 
Tatizo tulilonalo sisi tanzania ni kuwa serikali imeshindwa kusimamia haya mabadiliko ya kichumi ili kujenga misingi imara kwa wawekezaji wa nje na wa ndani.biashara nyingi hazisimamiwi ipasavyo kwa kufuata kanuni na taratibu tulizo jiwekea.mfano ni hii mikataba ambayo serikali inaingia ni kwa maslahi binafsi.
 
Back
Top Bottom