Nimfanyeje huyu mbwa?

Nimfanyeje huyu mbwa?

Ahahahahah sipatii picha ukianza kumtukana ningekuwa nacheka mno, vipi akiona hatari anabweka sana ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mpangaji anarudigi kazini saa 6-7 usiku,jamaa wakati anahamia ilikua akirudi lazma niwe nje maana atabweka kuazia iyo saa 6 mpaka jamaa anaingia ndani analala ye anabweka tu. Hatari haijawah kututokea,so im not sure,ila am sure anaona wachawi koz kuna muda anabweka hata umfukuze umwagie maji anabweka tu Nonstop.

Kazi unayo aiseee kwanini hukumpa mafunzo mapema[emoji23],,umenichekesha hapo eti anaonaga wachawi jamaniii leo mbavu zangu mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli una kiu fanya hivi; 1. Mtafutie mbwa mwingine wa pili. Mbwa hawi mkali akiwa peke yake. 2. Usimfungue kila saa tena unapowaweka mbwa isiwe karibu na mahali pana activities nyingi za watu.
Usibadilibadili mahali/chombo anapolia/kulia chakula. 3. Usimtupie chakula chini
 
Sasa huku Dar hayo majani nayapata wapi...unapicha yake hayo majani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia nenda vichakani ukatafute,hapo unapoishi hakuna vichaka jirani?ni majani unayoyafahamu sana tu,usiende porini huenda hata nje kwako yapo...kama wewe ni wale wa dar basi fanya hivi,chukua pilipili ya unga kidogo halafu kama mbwa wako ni dume basi mtomase tomase sehemu za siri hadi aliamshe dude kisha nyunyiza kiwango kidogo kwenye mkuyenge wake(hii ni kwa ajili ya mbwa dume tu)kisha muache bila kumfunga.Tahadhari:hatabweka siku hiyo ila ataonesha mabadiliko ya tabia kwa muda kama kuparamia miti na kukimbiza vitoto vya kike vidogo,usiwaze.Ila kuanzia siku inayofuata utampenda bure.
 
Kazi unayo aiseee kwanini hukumpa mafunzo mapema[emoji23],,umenichekesha hapo eti anaonaga wachawi jamaniii leo mbavu zangu mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimpa yakapitiliza,nilikua nataka abweke sasa nayeye ana nature ya kubweka,jumlisha training kidogo,basi kawa hivi,ila saivi hapa home heshima majiraniwapangaji na watoto wao hamna mazoea ya kiboyaboya hata nikisepa narudi nakuta things in order just like i left the.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli una kiu fanya hivi; 1. Mtafutie mbwa mwingine wa pili. Mbwa hawi mkali akiwa peke yake. 2. Usimfungue kila saa tena unapowaweka mbwa isiwe karibu na mahali pana activities nyingi za watu.
Usibadilibadili mahali/chombo anapolia/kulia chakula. 3. Usimtupie chakula chini
Nitamtafutia mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuambia nenda vichakani ukatafute,hapo unapoishi hakuna vichaka jirani?ni majani unayoyafahamu sana tu,usiende porini huenda hata nje kwako yapo...kama wewe ni wale wa dar basi fanya hivi,chukua pilipili ya unga kidogo halafu kama mbwa wako ni dume basi mtomase tomase sehemu za siri hadi aliamshe dude kisha nyunyiza kiwango kidogo kwenye mkuyenge wake(hii ni kwa ajili ya mbwa dume tu)kisha muache bila kumfunga.Tahadhari:hatabweka siku hiyo ila ataonesha mabadiliko ya tabia kwa muda kama kuparamia miti na kukimbiza vitoto vya kike vidogo,usiwaze.Ila kuanzia siku inayofuata utampenda bure.
Du...haya bana ila wangu ni jike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom