Nimfanyeje huyu mbwa?

Nimfanyeje huyu mbwa?

Kwa mfugaji wa kienyeji tu mtaani na alikuwa ni puppy

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila mbwa anafaa kwa ulinzi. Ingekuwa mimi ningeendelea kumfuga halafu atakofika muda wa kuweza kuzaa (nadhani umesema ni jike) utafute madume bora yamzalishe. Watoto wake watakuwa ni wakali. Nilikuwa na wangu na kufanya hivyo. Sikujuta.
 
Ok, ngoja nilifanyie kazi hili wazo lakini pia nianze kutafuta jibwa dume zuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0761.JPG

Mkuu mbwa wako mwenyewe ni kama huyu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom