Sio kila mbwa ni wa kubweka au kwa ajili ya ulinzi,ndio maana hata mbwa wa polisi kama unawaonaga ni breed fulani na sio tu mbwa yeyote. Mimi nilikua na mbwa habweki,yeye ni wale wakimya yani ila ukija kushtuka yupo mguuni na hujamuona,ambao ni hatari zaidi alikufa;But now ninaye mwingine jike ni anabweka hadi mtu unakasirika lisianguke jani kutoka kwenye mti anabweka asiskie watu nje wanapita anabweka,asione kivuli anabweka,ila kamwe hasogelei mtu anabweka ila anasimama mbali kabisa.
Kwaiyo Usije ukadhani kubweka ndo kila kitu,after all mafunzo ni muhimu aweze kujua nani wa kucheza nae na nani sio mwenyeji,kama unamfungia tu ndani akija kutoka na ana hamu y kucheza yeyote atakaemkuta atataka kucheza naye!
Sent using
Jamii Forums mobile app