sosssy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 668
- 537
akivimba uso atakua mkal tuu
Miezi minne nadhani bado anafundishikaIngia youtube videos zipo kibao namna ya kumtrain mbwa,then adopt na mazingira na matakwa yako,but kama ameshakua sana itakua changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaSio kila mbwa ni wa kubweka au kwa ajili ya ulinzi,ndio maana hata mbwa wa polisi kama unawaonaga ni breed fulani na sio tu mbwa yeyote. Mimi nilikua na mbwa habweki,yeye ni wale wakimya yani ila ukija kushtuka yupo mguuni na hujamuona,ambao ni hatari zaidi alikufa;But now ninaye mwingine jike ni anabweka hadi mtu unakasirika lisianguke jani kutoka kwenye mti anabweka asiskie watu nje wanapita anabweka,asione kivuli anabweka,ila kamwe hasogelei mtu anabweka ila anasimama mbali kabisa.
Kwaiyo Usije ukadhani kubweka ndo kila kitu,after all mafunzo ni muhimu aweze kujua nani wa kucheza nae na nani sio mwenyeji,kama unamfungia tu ndani akija kutoka na ana hamu y kucheza yeyote atakaemkuta atataka kucheza naye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huku Dar hayo majani nayapata wapi...unapicha yake hayo majani?Ulimnunua?kama ulimnunua alibebwa na nani kumleta kwako?kama aliyembeba siku ya kwanza kumleta kwako ana asili ya upole/muoga wa ugomvi/kupigana,kama ni mwanamke pengine alikuwa kwenye siku zake ama usiku wa kuamkia siku aliyombeba alitoka kutoa uroda kwa mumewe/hawara kwa shingo upande,ama ni mama huruma hapo mtaani....Sasa fanya hivi,zunguka vichakani tafuta majani yanaitwa mzalizali(yako kama majani ya mlenda pori),yafinyangefinyange hadi yatoe majimaji ya kijani kama juisi ya parachichi halafu mshike umnyweshe walau kijiko kimoja tu.Tahadhari:atakuwa mkali hadi kero,majirani watakushauri umuue maana ana kichaa lakini wewe usiwasikilize.
Nacheka mbwa wako likidondoka hata jani anabweka,,ila mbwa siwapendei hapo tu kwenye kubweka jamani kelele sana
Kubweka ndo ulinzi wenyeweNacheka mbwa wako likidondoka hata jani anabweka,,ila mbwa siwapendei hapo tu kwenye kubweka jamani kelele sana
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfungie kwenye banda ambalo lipo sealed then lipua bangi humo ndani akitoka hapo hacheki na kima hata ww atakusahau
Yani huyu mi ananitiaga hasira hadi namtukanaga,yani anaeza akakaa katulia afu umeme ukikatika ghafla anabweka,usiku ukiamka ukawasha taa ndani anabweka,***** namuitaga SHISHI BABY yani asisikie kitu Ila saivi nishamjulia dawa yake kuna kimdoli flani hivi kama cha mpira kwaiyo akianza ungese wake usiokua na kichwa wala miguu nikimtupia icho kimdoli kinavyobounce kinamkeep busy ndo nalala.Nacheka mbwa wako likidondoka hata jani anabweka,,ila mbwa siwapendei hapo tu kwenye kubweka jamani kelele sana
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Ahahahahah sipatii picha ukianza kumtukana ningekuwa nacheka mno, vipi akiona hatari anabweka sana ?Yani huyu mi ananitiaga hasira hadi namtukanaga,yani anaeza akakaa katulia afu umeme ukikatika ghafla anabweka,usiku ukiamka ukawasha taa ndani anabweka,***** namuitaga SHISHI BABY yani asisikie kitu Ila saivi nishamjulia dawa yake kuna kimdoli flani hivi kama cha mpira kwaiyo akianza ungese wake usiokua na kichwa wala miguu nikimtupia icho kimdoli kinavyobounce kinamkeep busy ndo nalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du hilo jina lake!Yani huyu mi ananitiaga hasira hadi namtukanaga,yani anaeza akakaa katulia afu umeme ukikatika ghafla anabweka,usiku ukiamka ukawasha taa ndani anabweka,***** namuitaga SHISHI BABY yani asisikie kitu Ila saivi nishamjulia dawa yake kuna kimdoli flani hivi kama cha mpira kwaiyo akianza ungese wake usiokua na kichwa wala miguu nikimtupia icho kimdoli kinavyobounce kinamkeep busy ndo nalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiss...hebu acha utani mkuu mi natafuta mtaalamu anielekeze namna ya kumfanya awe attack dog