General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Mimi nimefuga mbwa sana.
Du ngoja nimfuge akizaa huenda atatoa mkaliMimi nimefuga mbwa sana.
Mbwa mkali unamjua angali mtoto.
Macho na Mkia wa Mbwa unaonesha atakuaje kama akipata makuzi mazuri.
Ukiona mbwa na macho ya aibu au machizi huyo si Mbwa.
Ukiona kitoto cha mbwa una mtisha anainama huyo atakuwa koko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta mbegu za bangi saga halafu uwe unamchanganishia kwenye chakula chake, usipokuwa makini hata wewe mwenyewe utang'atwa. Anaebisha abishe ila hiyo ndo dawa kiboko.Ni mbwa wa miezi minne sasa nimemfuga kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani. Kinachonishangaza sijawahi kumsikia akibweka zaidi ya siku moja alikuwa anambwekea chura.
Kitu kingine yeye ni rafiki wa kila mtu; mgeni kwa mwenyeji. Nimemfungia weee lakini akipata upenyo wa kukutana na mtu yeyote basi anataka wacheze naye.
Nifanyeje ili awe mkali asiwe na urafiki na kila mtu na awe anabwekea hata mapaka yanayopita usiku?
Yaani alivyo sijui nitamfanya nini zaidi labda ya kumfanya kitoweo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajaribu...ila nazipata wapi hizo mbegu nduguMkuu tafuta mbegu za bangi saga halafu uwe unamchanganishia kwenye chakula chake, usipokuwa makini hata wewe mwenyewe utang'atwa. Anaebisha abishe ila hiyo ndo dawa kiboko.
Ha ha ha , bangi zimejaa tele mitaani hasa mjini , huwezifika nyumba ya tatu bila kupata Bangi. Tafuta wavutaji utapata kwa urahisi sana.
Nimcheka kea sauti mkuu, yaani kabwekea churaaa hahahaha, thanks u made my day,Ni mbwa wa miezi minne sasa nimemfuga kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani. Kinachonishangaza sijawahi kumsikia akibweka zaidi ya siku moja alikuwa anambwekea chura.
Kitu kingine yeye ni rafiki wa kila mtu; mgeni kwa mwenyeji. Nimemfungia weee lakini akipata upenyo wa kukutana na mtu yeyote basi anataka wacheze naye.
Nifanyeje ili awe mkali asiwe na urafiki na kila mtu na awe anabwekea hata mapaka yanayopita usiku?
Yaani alivyo sijui nitamfanya nini zaidi labda ya kumfanya kitoweo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Una bidii mpaka noma maana kila comment unaijibu.
Hata mi nmemstukia maana kila comment ka-reply tena fasta na kuna vitu anashauriwa hataki. Eti hajui pa kuipata bangi?. Real....? Hata mtoto wa miaka 5 anajua wapi bank inapatikanaUnaweza pia kuwafuatilia wazazi wake kujua kama wao na hawakuwa wakali.
Unawezakuta muda mwingine huyo kiumbe anazuga tu au anataka umaarufu tu-anajisikia raha kujadiliwa na maGREAT THINKERS kama sisi.
Rudi ulipomchukua ulizia wazazi wake,utagundua kama tatizo linatibika au la.
Chiwawa ni vimbwa vile vidogo ma celebrity wanavipenda sana,wanavibeba kama vitoto