Didi Omary Hussein
Member
- Jul 7, 2017
- 12
- 4
Kweli hata ungempa na buti poa
Yote hayo ni majina yenye ku-present mtu mmoja tu, MKE WANGU niliemuoa kwa ndoa takatifu.Una wife na una hubby.... Shkamoo asee
Hubby ni husband, kweli unampenda hadi wamuita hubby tehYote hayo ni majina yenye ku-present mtu mmoja tu, MKE WANGU niliemuoa kwa ndoa takatifu.
mke wa mtoa uzi ameshatubu alaSisi tumetulia, labda mke wa mtoa uzi ndio hajatulia. Sasa kwanini wewe unatujumuisha wote?
Sidhani kwakweli, labda atuletee mrejesho kutokana na kile kibao je bidada ameacha kutoka na rundo la shanga kiunoni?mke wa mtoa uzi ameshatubu ala
Hehehehe aise haya.Akiuwawa apumzike kwa amani
Habiiby, mahboubatHubby ni husband, kweli unampenda hadi wamuita hubby teh
Aah haya ndio duniaWewe si unapenda shanga mbili tu, huko nje kuna jamaa anapenda avae mzigo wa shanga.Pole by the way.
Nilichogundua kelbu ni dawa hivi tangu juzi anazunguka ndani ya nyumba tuuSidhani kwakweli, labda atuletee mrejesho kutokana na kile kibao je bidada ameacha kutoka na rundo la shanga kiunoni?
Hapo ndio tutapata conclusion kwamba katubu au hajatubu.
Habiiby, mahboubat
Na kuna tofauti kubwa sana kati ya mvulana na mwanaume Mkuu!!!Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!
Mkuu bora hao vijana,sasa huyu mtu mzima ndio hovyo zaidi yaani mambo ya ndani kwake kayaleta hapa na nyie mnampongeza na kumpa like. Shida kweli.Muda mwingine lazima maamuzi magumu yachukuliwe, kelebu kalaza papuchi ndani..!!
Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!
Acha kumpa sifa za asizostahili, aliyekwenda jandoni hawezi kutoa mambo yake ya ndani ya nyumba.Safi Mkuu wewe kweli umekwenda jandoni..inafika stage hawa viumbe lazima uwape vibao ndio anarudi kwenye mstari
yamekuja hapa ili kuwafunza waoga wa kuweka mambo hadharaniMkuu bora hao vijana,sasa huyu mtu mzima ndio hovyo zaidi yaani mambo ya ndani kwake kayaleta hapa na nyie mnampongeza na kumpa like. Shida kweli.
Mkuu bora hao vijana,sasa huyu mtu mzima ndio hovyo zaidi yaani mambo ya ndani kwake kayaleta hapa na nyie mnampongeza na kumpa like. Shida kweli.