Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Salaam wadau
Huyu wife wangu jana amenishangaza na tabia moja hivi ninavyoandika bado nipo na hasira kama nitakua nakosea kuandika basi mtanisamehe,

Huyu wife mwenyewe najua ana shanga mbili tu kiunoni lakini kama miezi miwili nyuma katika pitapita yangu kwenye droo zake nikakumbana na mzigo wa haja wa shanga,nafsi ikashtuka lakini nikachukulia labda zile ni spea baada ya zile mbili zikikatika ata replace na hakuwahi kuzivaa mbele yangu,
Sasa kuna siku nimetoka kuoga na yeye anavavaa pale , nikaingia bila vishindo heee naona amevaa zile shanga,sikusema kitu akavaa akamaliza akaenda safari zake akarudi

Nikamcheki hana ule mzigo ameuvua na ameupaki pale pale kwenye eneo lake, sasa jana ndio ilikua habari nyingine ameamka bize anagawa majukumu kwa watoto ,anaaga kuna safari ya mabwepande na mimi hajanijulisha basi nikawa naendelea na shughuli zangu za kujibu meseji kwa jamaa zangu,na yeye akakaa kwenye dressing yake kuanza kujipodoa sasa mimi macho yakanilazimisha kuangalia kwenye kioo cha kabati na kabati linaangaliana na kule alikokaa yeye si naziona zile shanga amevaa

Nikauliza vipi mzigo huu umeingiza lini ananijibu kwa kujiamini upo siku nyingi..mimi mbona sijawahi uona..ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka...nikaamka pale nilipokaa nikamfuata nikamwambia azivue akagoma nikazishika nikazikatilia mbali akataka kupandisha pumzi nikamkabidhi kelbu moja tu akawa hana hamu nikamuona amepanda kitandani amevuta shuka na safari imekufa,jioni nilivyorudi sikumuona pale sitting room nikauliza watoto wakasema mama leo amekula mapema na amelala mapema hakutoka hata nje ya geti

Hivi ni kimoja tu kati ya kumi tunavyotendwa

Sasa zigo la shanga wapi tena? haki ya nani, mimi wangu hata kuvaa moja atoka nayo hapatakuwa na maongezi mwaka
 
Dah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.

Nami nawaza angefanya hivyo kwanza afuatilie nyendo zake anakokwenda na ni nani anayemvalia hizo shanga then ajue sababu ya kumvalia yeye moja na mwenzie nyingi baada ya hapo ndio apime hiyo ndoa inaweza kuendelea au ifike mwisho. Kumpiga maumivu yanapona lakini tamaa na utafutaji wa achokifuata huko mabepwande havimuishi. Inaumiza kweli ila sasa busara na sio hasira zitaleta mwisho mzuri
 
Si UOTE="madala mujipa, post: 22066713, member: 417912"]Binaadamu ameumbwa na kutokutosheka mkuu[/QUOTE]
Si kila kitu anapata. Tamaa ya nn
 
Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!
 
Hizo shanga kuna mtu anavaliwa,haiwezekani akiwa ndani avae moja akitaka kutoka avae rundo.
Vizuri sana,tena mkanye kuvaavaa shanga ovyo,na ujaribu kumdadisi nyendo zake isikute kuna mtu anapakua taratibu.
wachaweeeee!!!
 
Mtoa mada nakupongeza sana kwa maamuzi uliyochukua ila hujatibu tatizo. Kama ulizikata kwa kuhisi kuwa kuna mtu mwingine anavaliwa hizo shanga basi endelea na uchunguzi utagundua mengi sana Zaidi ya hizo shanga. Pole sana ila tibu tatizo shanga ni matokea tu ya tatizo.

Ushauri tu wa kiutu uzima: Nakushauri umwite umwambie ukweli na umwambie aache mara moja tabia ya kutoka nje ya ndoa na pia umweleze kuwa kama anaona huyo mtu ni muhimu bora aombe talaka akaishi nae kuliko kukudanganya. Mwambie unajua kipi anafanya na umemfuatilia muda mrefu sana. Mweleze akupe msimamo wake kabla ujaenda hatua za mbele Zaidi kuhusu ndoa yenu na pia endelea kumchunguza utaona anajistukia sana pia piga marufuku safari zisizo rasmi kwa mkeo pia awe anakupa taarifa anaenda wapi na kufanya nini na siku akienda sehemu bila ruhusa kerbu mbili tatu zihusike ili ajue anacheza na timu gani. Ndoa zina mitihani sana haswa unapokuta mmoja wa wanandoa si mwaminifu. Pambana uokoe ndoa yako kwa kurekebisha matatizo mapema kabla mambo hayajaharibika


Saafi sana, well said, ushauri mzuriiii.....
 
Back
Top Bottom