Wewe iyo avatar umeweka lini na kwa ruhusa ya naniMwenye hogo LA jang'ombe.... Wewe unakibamia
Dunia ingeboa, tungekosa ubunifu.
kazi kwake ila hapa heshima imerudiSasa atakuwa anaziacha huko huko anapoenda kushughulikiwa na huyo anayependa kiuno kisheheni shanga
smart911 asingeangaika na kutafuta pesa wala kujiweka smart
Mkuu " umempa Kofi safi sana... Hawa viumbe ukiwasemesha vyema wanaweza kukung'oa shingo ......
Yaani ni uvumilivu tuu la sivyo ni mikono ya damu
Muda mwingine lazima maamuzi magumu yachukuliwe, kelebu kalaza papuchi ndani..!!..
Lazima urudishe heshima kama imeanza kupotea
Wanawake wana vtuko vingi sana wakati mwingine ni bora lawama kulko hasara
Hahaha bora ulivyompa hiyo kelbu umeiokoa papuchi na msoto,hana adabu kabisa huyoo loh!!!
😀😀😀😀😀🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂...angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!
Ujue ana mwanaume huko nje anayependa hali hiyo hivyo hutumika kama asset sasa umeenda haraka ungejua mengi.Salaam wadau
Huyu wife wangu jana amenishangaza na tabia moja hivi ninavyoandika bado nipo na hasira kama nitakua nakosea kuandika basi mtanisamehe,
Huyu wife mwenyewe najua ana shanga mbili tu kiunoni lakini kama miezi miwili nyuma katika pitapita yangu kwenye droo zake nikakumbana na mzigo wa haja wa shanga,nafsi ikashtuka lakini nikachukulia labda zile ni spea baada ya zile mbili zikikatika ata replace na hakuwahi kuzivaa mbele yangu,
Sasa kuna siku nimetoka kuoga na yeye anavavaa pale , nikaingia bila vishindo heee naona amevaa zile shanga,sikusema kitu akavaa akamaliza akaenda safari zake akarudi
Nikamcheki hana ule mzigo ameuvua na ameupaki pale pale kwenye eneo lake, sasa jana ndio ilikua habari nyingine ameamka bize anagawa majukumu kwa watoto ,anaaga kuna safari ya mabwepande na mimi hajanijulisha basi nikawa naendelea na shughuli zangu za kujibu meseji kwa jamaa zangu,na yeye akakaa kwenye dressing yake kuanza kujipodoa sasa mimi macho yakanilazimisha kuangalia kwenye kioo cha kabati na kabati linaangaliana na kule alikokaa yeye si naziona zile shanga amevaa
Nikauliza vipi mzigo huu umeingiza lini ananijibu kwa kujiamini upo siku nyingi..mimi mbona sijawahi uona..ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka...nikaamka pale nilipokaa nikamfuata nikamwambia azivue akagoma nikazishika nikazikatilia mbali akataka kupandisha pumzi nikamkabidhi kelbu moja tu akawa hana hamu nikamuona amepanda kitandani amevuta shuka na safari imekufa,jioni nilivyorudi sikumuona pale sitting room nikauliza watoto wakasema mama leo amekula mapema na amelala mapema hakutoka hata nje ya geti
Hivi ni kimoja tu kati ya kumi tunavyotendwa
Nimeelewa MkuuKaweka hapa ili wengine wajifunze, kuna muda unafikia lazima mtu achukue maamuzi kama mwanaume..!!
upo sawa mkuuKwanza hongera kwa hawa wachache niliowanukuu kwa kutoa pongezi, kwa kuwa wanarambua umuhimu wa kiongozi wa familia kuwa imara katika maamuzi na kuchukua hatua pasipo kusita.
Tukumbuke, familia ndiyo Taasisi ya kwanza katika maisha ya binadamu kijamii. Hiyo Taasisi isipokuwa imara na jamii nzima inakuwa hovyo hovyo. Kiongozi wa familia akiwa legelege, hata akipewa madaraka atakuwa hivyo hivyo. Huyo mama, kama ana madaraka katika ajira, hakika anamdanganya pia mwajiri wake na anaowasimamia. Kwa kifupi ananajisi pia madaraka yake kama amfanyavyo mme wake.
Niwaombe pia mtoe pongezi, kama hizo, kwa viongozi wa Serikali iliyoko sasa madarajani inavyowapa vibao vya uhakika wanaoenda kinyume na mila na tamaduni zetu, kama vile:
Wazembe;
Wahujumu uchumi;
Mafisadi;
Waropokaji;
Wasio heshimu utawala;
Wasio jiheshimu;
Wanafiki;
Wazushi;
Wambea;
Wanaotafuta umaarufu wa kisiasa kwa njia za kitoto;
Na kadhalika.
Naamini mmenielewa. Hivyo hao, sisi mashabiki na wafuasi, tusipige kelele wanaposhushiwa vibao.
TAFAKARI CHUKUA HATU
mkuu yawache hayo ni makaburi ya kaleHuyu ndio yule alie kuwekea siafu kwenye nguo na wakati unajifuta dushe ukang'atwa.....![]()
![]()
![]()
Na mbaya zaidi ulipo amka asubuhi ukakuta dudeshe limejaa mchanga, kumbe alikupa dera la zamani tena chafu ili ujifutie baada ya mgegedrooo.......![]()
![]()
![]()
ningeua mkuuKweli hata ungempa na buti poa
mkuu ulitaka nikapewe video hapana mkuu hiyo ngumuUjue ana mwanaume huko nje anayependa hali hiyo hivyo hutumika kama asset sasa umeenda haraka ungejua mengi.