Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Mungu azidi kukulinda. Nashangaa watu wanaamini ushirikina ila ikija Nguvu za Mungu wanaanza kuhoji.
 
Wacha kujipakazia , mchawi gani akujie wewe ili apate nini kwako ? Umeshiba maharage mengi na ugali usiku , gesi imekujaa unakuja kutumwagia upepo JF, Yesu haäwezi kuwaambia watu watumie jina lake. Huo ni ushirikina
Unasomaga bible?
 
Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.

Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia.

Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa Jina la Yesu - kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la Yesu lina nguvu sana. Ukilitamka, wachawi wanapigwa kipigo kikali sana na kukimbia. Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka. Unatembea kifua mbele bila kuogopa wachawi.

Yakobo 4:7-10
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili. Huzunikeni, na muomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni. Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua."
kama bado unapigana na wachawi badoo sana upo kitoto cha kiroho
 
Ww unapiganaga na akina nani?
kuna wachawi, enzi ( throne - evils throne), power, principalities, dominion from evils side.. wachawi ni low level wanatumika kukamilisha task task.. ingawa kuna uchawi wa kina sana, and am talking back the uchawi ambao mwanadamu alifundishwa na fallen angel, sio hawa wachawi wajinga wajingaa..
 
Sio hiv Vya mchongo
 
Hao wa kina ulipambanaje nao
Niambie mmoja wapo aliyekuja kukujarib na ulimshindaje
 
Sio hiv Vya mchongo
hivi vya mchongo .. unaless iwe whichcraft spirit the ancient one, inaweza ni challenge sio hao wachawi ambao wapo possessed na kiwango flani cha roho ya uchawi.. maana watu wanashindwa tofautisha viwango vya wachawi kulingana kwao kumilikiwa na roho ya uchawi.. kuna watu wenyewe wamekuwa uchawi na sio wachawi 😜
 
Hao wa kina ulipambanaje nao
Niambie mmoja wapo aliyekuja kukujarib na ulimshindaje
mkuu, miaka mingi nishamalizana na wachawi, wachawi ni ground ya mazoezi kwa mtu anae kua kiroho kama kuluta, ukisha qualify unaanza deal na ground or marine ... Popote napo ingia hakuna shughuli ya kichawa inayofanyika hadi niondoke mkuu.. nina visa vingi sanaa . na nimekutana na mengi sana
 
Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.

Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia.

Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa Jina la Yesu - kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la Yesu lina nguvu sana. Ukilitamka, wachawi wanapigwa kipigo kikali sana na kukimbia. Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka. Unatembea kifua mbele bila kuogopa wachawi.

Yakobo 4:7-10
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili. Huzunikeni, na muomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni. Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua."
Epuka kula wanga usiku mda mchache kabla hujalala. Jifunze kula 3hrs before bed.
 
Mkuu, shule nimeenda. Najua sana umuhimu wa utaratibu wa kula, umuhimu wa kulala mapema na mambo yote muhimu kiafya. Siku hiyo sikuwa na uchovu wowote na mimi stress kwa ujumla sina. Maisha yangu yamejaa furaha sana kwa sababu Mungu amenifanyia mambo mengi ya baraka.

Inaonekana huijui vizuri Sleep Paralysis. Mtu aliyepatwa na SP hawezi ku-move wala kuongea tena hali hiyo huanza anapo-fall asleep. Mimi nimekuambia nilikemea kwa sauti, kwa Jina la Yesu na nilikuwa tu ndo nimejilaza - usingizi ulikuwa bado haujanishika.

Science haiwezi kuelezea mambo ya kiroho. Kisayansi, watu wenye sleep paralysis huwa wanaona kwa mfano shadowy figure chumbani, a presence near the bed, breathing sounds, whispers, au footsteps. Ajabu ni kwamba wanasayansi hawawezi kuyaona au kuya-prove hayo yanayoshuhudiwa na mtu mwenye SP; wanachoona tu kwenye lab ni brain activity. Huu ni udhaifu mkubwa sana wa sayansi katika eneo hilo.

Ndugu yangu Ibn Unuq shetani na mapepo wapo. Na hao ndio wanaofanya kazi pamoja na wachawi. Yesu ametupa mamlaka ya kuwafukuza kwa Jina la Yesu.
Umeeleza vyema mkuu! Heri tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!
 
mkuu, miaka mingi nishamalizana na wachawi, wachawi ni ground ya mazoezi kwa mtu anae kua kiroho kama kuluta, ukisha qualify unaanza deal na ground or marine ... Popote napo ingia hakuna shughuli ya kichawa inayofanyika hadi niondoke mkuu.. nina visa vingi sanaa . na nimekutana na mengi sana
Aisee
 
Upo level ingn
 
Ndio. Alijua. Mungu anajua yote.
Kama Mungu alijua shetani atakua chanzo cha uovu kabla hajamuumba ila akamuumba hivyohivyo basi uovu na kuteseka kwa binadamu ni mpango wa mungu mwenyewe.

Huwezi kuanzisha mchezo ambao unajua mwisho wake utakua uharibifu kwa wengi, halafu ukajiita mwenye upendo na haki.

Na kama kweli hakujua matokeo, basi si mungu wa kila kitu.
Lakini kama alijua na bado akaumba basi Shetani si tatizo kuu, bali tatizo ni mungu mwenyewe.

Kama Mungu yupo basi hana sifa ya upendo mkuu, hajui yote na hana nguvu kupita vyote.
Na kama hana sifa hizo baso hayupo - hizo zinabaki kuwa hadithi mlizojitungia kichwani tu.

Nikiweka sahihi ujue nimemaliza, huna cha kutetea tena.
Ibn Unuq.
 
Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.

Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia.

Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa Jina la Yesu - kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la Yesu lina nguvu sana. Ukilitamka, wachawi wanapigwa kipigo kikali sana na kukimbia. Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka. Unatembea kifua mbele bila kuogopa wachawi.

Yakobo 4:7-10
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili. Huzunikeni, na muomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni. Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua."
mwinjilisti mafunzoni karibu sana,nataka uje ufanye efort hapa mtaani kwetu gharama yako sh ngapi
 
Hakika Yesu ni kiboko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom