Nimewakumbuka, MMU Legends

Nimewakumbuka, MMU Legends

Hahaha,....kaka, nimehamia Dar kwa muda.
Kumbe Ughaibuni speed za maisha sio kama za Dar aisee....

Dar natumia nusu siku kwenye foleni barabarani, ukijumlisha na time za kuumizana kichwa na mafundi,
na swala,...najikuta muda uliobakia hoiiiitaabani, naangalia taarifa za habari kisha nalala!

Angalau kwa wiki moja hii nimerudi kupooza kichwa uzunguni, na hivi summer imepitia pembeni (still!) aaahh, nitakuwa online muda wa kutosha. The Gunners hoyeeeeee!!!!!!

Nipo Mkuu nina furaha tele ya kuchukua FA Cup kwa mwaka wa pili mfululizo na timu iko bomba sana 2 or 3 new players next season na timu yetu itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Serena alishinda Jumamosi dhidi ya Azarenka na leo kashinda tena dhidi ya Sloane Stephens. Kwenye QF atacheza na mrembo wa kutoka Italy Erani. Umeadimika sana Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana Mkuu, mie nilishangaa sana kuona safari ambayo miaka ya nyuma ilikuwa ni 15 to 20 minutes kwa gari siku hizi inachukua 2 hours to 3 hours na hapo ndio kama barabara ziko shwari kama kuna ajali basi inakuwa habari nyingine kabisa. Wakati wenzetu wanakimbia kwa speed ya Usain Bolt sisi bado tunatambaa miundo mbinu ya kuhudumia Jiji la watu 250,000 ndiyo hiyo hiyo ihudumie Jiji la watu 5,000,000!! Watu wanaamka saa 9/10 za usiku ili kuwahi kwenye ajira zao na hawa ni Maboss wakubwa sana tu huko walikoajiriwa. Breakfast kwenye foleni barabarani ndiyo wanajichana na chai kwa vitumbua/chapati 🙂🙂 Sasa subiri miaka 10 mingine safari ya nusu siku itakuwa ya siku nzima! Dar tambarare!!

Hahaha,....kaka, nimehamia Dar kwa muda.
Kumbe Ughaibuni speed za maisha sio kama za Dar aisee....

Dar natumia nusu siku kwenye foleni barabarani, ukijumlisha na time za kuumizana kichwa na mafundi,
na swala,...najikuta muda uliobakia hoiiiitaabani, naangalia taarifa za habari kisha nalala!

Angalau kwa wiki moja hii nimerudi kupooza kichwa uzunguni, na hivi summer imepitia pembeni (still!) aaahh, nitakuwa online muda wa kutosha. The Gunners hoyeeeeee!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jamiiforum Forum ya enzi zile si ya leo! Tahadhari unaweza kukutana na watoto kama si wajukuu mnachangia au mnatoa hoja MMU. so ni kuchungulia kufurahisha macho kama si ubongo na unakuwa umeongeza siku za kuishi kama sio miaka. JF ni free stress zone ndio maana 'tulibaha'
 
.......ndio maana'ke Pakawa the legend! ...miaka tisa hewani si mchezo, watoto wamezaliwa, wamepelekwa shule ya vidudu....

.....sasa wapo umri wa darasa la tatu, weshajua kusoma na kuandika. Juma na Roza weshawaacha, wanaelekea kwenye sayansi kimu na jiografia,.......

Kubalini matokeo 😉

Cc; Dark City, KING"asti, Steve Dii na mydada AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha nimekumbuka mbali sana.

Nashukuru kwa salamu mosquito Mbu.

My fellow tablet klorokwini kaniachia kazi kubwa sana ya kupunguzia watu maumivu. Malaria unayoisambaza imeshakuwa Malaria Sugu.

Mi nawasalimu dokta Riwa, carmel, @ZionDaughter, Fidel80, Teamo, NGULI, Mamushka bht, sweetlady, Kabakabana, Mwali, MwanajamiiOne, @RR, Kaizer, my super shem AshaDii, na wengine woooote

Ujumbe: Tukumbukane kupitia Radio Tanzania, Daslam.

Naomba wimbo wa Jojina usindikize salaamu hizi.
 
Jamiiforum Forum ya enzi zile si ya leo! Tahadhari unaweza kukutana na watoto kama si wajukuu mnachangia au mnatoa hoja MMU. so ni kuchungulia kufurahisha macho kama si ubongo na unakuwa umeongeza siku za kuishi kama sio miaka. JF ni free stress zone ndio maana 'tulibaha'

Jf iko very interesting. Cc: The Boss
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom