Hahahaha nimekumbuka mbali sana.
Nashukuru kwa salamu mosquito Mbu.
My fellow tablet klorokwini kaniachia kazi kubwa sana ya kupunguzia watu maumivu. Malaria unayoisambaza imeshakuwa Malaria Sugu.
Mi nawasalimu dokta Riwa, carmel, @ZionDaughter, Fidel80, Teamo, NGULI, Mamushka bht, sweetlady, Kabakabana, Mwali, MwanajamiiOne, RR, Kaizer, my super shem AshaDii, na wengine woooote
Ujumbe: Tukumbukane kupitia Radio Tanzania, Daslam.
Afu kipindi hii jeiefu inaanza members wengi mlichagua id kwa kuangalia mwenzio kafanyeje... Hapakuwepo na ubunifu kiviiile... Hebu cheki hapa... Mbu aneeneza Malaria Sugu ukisikia mauvu ya Kichwa unameza Asprin usipopona unakunywa klorokwini.... Hahaaa. Ningejiunga kipindi hicho nahisi ningejiita NET YA MBU..
Miss you too hubby
Nabana mpaka penalty
Hahaa...Huyu Malaria Sugu alikuwa mtata sana!.
Taarifa hii imfikie Sikonge popote pale alipo!.Nipo Mkuu nina furaha tele ya kuchukua FA Cup kwa mwaka wa pili mfululizo na timu iko bomba sana 2 or 3 new players next season na timu yetu itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Serena alishinda Jumamosi dhidi ya Azarenka na leo kashinda tena dhidi ya Sloane Stephens. Kwenye QF atacheza na mrembo wa kutoka Italy Erani. Umeadimika sana Mkuu.
Nipo Mkuu nina furaha tele ya kuchukua FA Cup kwa mwaka wa pili mfululizo na timu iko bomba sana 2 or 3 new players next season na timu yetu itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Serena alishinda Jumamosi dhidi ya Azarenka na leo kashinda tena dhidi ya Sloane Stephens. Kwenye QF atacheza na mrembo wa kutoka Italy Erani. Umeadimika sana Mkuu.
Tukizungumzia ma legends wa JF (achana na MMU) basi kabisa hawezi kukosekana shemegi yangu Mwafrika wa Kike.
She is/ was a trailblazer. And those were the days. I sorely miss her.
Sometimes in my own utopia I just wish one day I'd wake to see she has made a comeback. I'll continue to keep my hope alive, nevertheless.
Na kuna majina ya watu ambayo yako synonymous na JF.
Nayo ni wenu mtiifu NN, Mzee Mwanakijiji, Mzee ES/ FMES, Mwafrika wa Kike, Kyoma, Fikiraduni/ Fairplayer, Dar Si Lamu, Tibwilitibwili, KadaMpinzani, Ogah, Sam, na Masanja. Bila kuwasahau mabwana wakubwa Mike na Max.
Hiyo ndo top tier ya legends wa JF. Bila hao hakuna JF.
Nani anabisha?
Nipo Mkuu nina furaha tele ya kuchukua FA Cup kwa mwaka wa pili mfululizo na timu iko bomba sana 2 or 3 new players next season na timu yetu itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Serena alishinda Jumamosi dhidi ya Azarenka na leo kashinda tena dhidi ya Sloane Stephens. Kwenye QF atacheza na mrembo wa kutoka Italy Erani. Umeadimika sana Mkuu.
Tukizungumzia ma legends wa JF (achana na MMU) basi kabisa hawezi kukosekana shemegi yangu Mwafrika wa Kike.
She is/ was a trailblazer. And those were the days. I sorely miss her.
Sometimes in my own utopia I just wish one day I'd wake to see she has made a comeback. I'll continue to keep my hope alive, nevertheless.
Na kuna majina ya watu ambayo yako synonymous na JF.
Nayo ni wenu mtiifu NN, Mzee Mwanakijiji, Mzee ES/ FMES, Mwafrika wa Kike, Kyoma, Fikiraduni/ Fairplayer, Dar Si Lamu, Tibwilitibwili, KadaMpinzani, Ogah, Sam, Rev. Kishoka na Masanja. Bila kuwasahau mabwana wakubwa Mike na Max.
Hiyo ndo top tier ya legends wa JF. Bila hao hakuna JF.
Nani anabisha?