Nimewakumbuka, MMU Legends

Nimewakumbuka, MMU Legends

Mbu tulikukosa sana hapa

jaman vipi lkn ulifanikiwa kwenye ile ishu yako ya kisima?

.....hahha, asante sana.
Yeah, jamaa wa Ubungo maji wamenifanyia hiyo kazi, nashkuru sana!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ni wachache walio wa zamani kuliko mimi Legend wa JF!

Hiyo zamani unayoizungumzia wala hakukuwa na upendo kihivyo.

Matusi yalikuwepo sana tu na kufungiwa kulikuwepo. Kuna wanachama wengi tu wa zamani ambao walipewa vifungo vya maisha.

Hizo timu unazozizungumzia zilikuwepo. Kilichobadilika sasa ni matumizi ya msamiati 'team/ timu' tu. Lakini makundi ya kuungana mkono yalikuwepo sana.

Kuelewana kulikuwepo na pia kupishana lugha kulikuwepo. Tofauti ya sasa na zamani ni idadi ya wanachama.

La ubaguzi sina uhakika nalo sana. Kwani sasa hivi kuna ubaguzi humu?


Hapo ndipo unaponikosha. Humumunyi maneno, kama ni kisu unakiita kisu...kama ni panga unaliita panga!
 
Hapo ndipo unaponikosha. Humumunyi maneno, kama ni kisu unakiita kisu...kama ni panga unaliita panga!

haaaaah nimechek wamumunyao maneno yap kwa mfano
 
Wengine wameolewa wako bize na majukumu ya kuangalia waume na watoto
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom