Nimewakumbuka, MMU Legends

Nimewakumbuka, MMU Legends

  • Thanks
Reactions: Mbu
Nipo bro habari za siku nyingi Lyagwa

Waooo, siku nyingi sana dada, na bahata mbaya kuna muda mwingi kutokana na majukumu niligeuka mgeni JF, lakini pia hata comment zako pia katika huo usomaji wangu ambao of course ni so partially huwa sikuoni. Aliyeiadhisha hii thread amechochea hisia za kukutafuta na kujua kumbe kweli you are still active member of JF. Nilipitia humu jana as Guest, nikaiona thread nikajisemea kesho nimtafute huyu ndg tusiyefamiana kwa sura wala majina halisi.

In short dada nipo ok na Mwenyezi Mungu anaendelea kunikilimia pumzi yake bila hiyana mimi binafsi na familia yangu. Hakika nimefurahi kusikia toka kwako kupitia JF.

Ahsante dada Ablessed
 
......nawatakia kila la kheri kwenye maandalizi ya xmas na kumaliza mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom