Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Ha ha haaa daaah mbona ni hela kawaida tu. Ungesema umeanza kulima kitunguu ningekuonea wivu.
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

naja,usiimaize yote kiongozi
 
Milioni moja!!!! Unakuwa milionea? Kweli umasikini ni kitu kibaya sana. Mtu unadumaa hadi akili!

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Soweto Mbeya Tanzania.
 
Yani nimefungua hii thread huku nikiwa na mashaka sana na Bujibuji. As I expected; Sasa 1m tzs zinatosha hata tu kulipa kodi ya nyumba??? Haya tualike hapo calabash nakuhakikishia kabla hawajafunga sa sita utagundua umaskini hauagwi hivyo.
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

Hahahahaaaa We mzee hivi huwa huishiwi Vituko?
 
Back
Top Bottom