Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

Mkuu siku hizi wenye pesa nyingi ni mabilionea; si mamilionea! Jitahidi utengeneze kabilioni.
 
Unachekesha hzo pesa hata frame ya biashara tu pale kariakoo hupati!
 
Mna majungu nyie watoto, sijawahi kuona.


umeona eenh! haya mjungu tumeyanunu china tunayakodisha kwa wanaofanya sherehe za kipaimara/komunio/kibao kata/kutoa mahari/utambulisho wa mchumba etc.

vipi? tayari tukukodishe?
cc Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kweli bujibuji wewe ni noma,najaribu kuona jinsi unavyochangamsha wana jf hapa kwa vituko vyako visivyoisha milion moja nayo umeona mali kitu? Labda ukaizalishe kama yule jamaa wa kitabu cha Mathayo 25 aliyepewa talanta 5 akaenda kuizalisha na kupata faida 100% nawe kafanye hivyo mkuu.
 
hongera bwn Bujibuji, naamini ulikuwa na huo utajiri kabla hata ya hicho kizibo na ndo maana ulimudu kununua yenye hicho kizibo. imeongeza mapato yako ya mwisho wa mwaka huu na kweli hongera sana kwa hiyo pesa nyepesi! aka ya bahati, hofu watu watakuwa wamejua una bahati, sitaki kutabili yatakayofuata......!!!!!!
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

naomba unitoe out
 
Back
Top Bottom