Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

watu mnachekesha sana angalau hasira nilizokuwa nazo zimepungua
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana



Khaaaaa.....nilifikiri mabilioni ya Uswisi kumbe chenji ya boda boda?
 
Mkuu. Kwahiyo ile Lumia 1020 niiuze au nikusubiri? :msela:
 
kuitwa millioneoa lazima uwe na million kuanzia 100 na kuendelea wewe utaitwa tajiri wa maelfia
 
Hongera sana,sasa fanya biashara ya dhahabu,njoo nikuuzie ninazo ili uwe bilionea na umiliki bastola.
 
Milioni moja!!!! Unakuwa milionea? Kweli umasikini ni kitu kibaya sana. Mtu unadumaa hadi akili!
Hey! Why you guys are so serious in everything?the guy is trying to be funny ,stop fuming be happy and celebrate with him by having some kinana baridiiii! how frigid wabongo's minds!
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana
Ka picha basi.
 
umilionea umeuingia vipi mkuu wakati hapo ukitoa sh.100 tu umerudi kwenye U-LAKI wako kaka zamani?
 
Njoo kule JF doctor nataka kumpima u great thinker mkuu MziziMkavu.
Topic ni kuhusu blood type na tabia ya mtu.

ka! ka! ka! ka! ka! ka!

eeh! ndio! na mi nasema apimwe tu! ndio! maana sasa tumechoka! kila siku nje nje.. mara magari, mara majumba! yaani full brain concursion!
 
Back
Top Bottom