Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Da hafadhari brazer, nilikuwa nashida kidogo ya laki 2 unipe,mungu akipenda ntakuombea dua ukinywa soda nyingine upate hata soda ya bure.
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo. Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea. Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde. karibuni sana
Hahahah niliposoma heading ya thread na kugundua ni kutoka kwako nilijua nitakutna na kitu kama hiki...huishi vituko mkuu
 
He! We kweli wa ajabu. Umeshinda kamilioni kamoja ndiyo umekuwa milionea!!! Mie nilidhani biashara yako imekubali umepata faida kubwa sana na unaendelea vizuri. Toa budget tuone kama kweli utaweza kutoka na hela uliyoipata kwenye kamali!!!
Mimi sio wa ajabu, ni wa NGUDU
 
Mimi nilifikiri una Mllioni moja Dollar? kumbe una shillingi Millioni Moja Pesa ya machungwa? Watu huku nje wana Dollar Millioni 1 Wa-Tanzania na tunawaona hawana pesa khaaaaa wewe unafurahisha sana.Mkuu Bujibuji

Mkuu,
watch out ur posts!! Kwanini unapenda sana kusema "huku nje"?? Au unaona watu watakushangaa sana kuwa nje?? Na umeonesha dharau kwenye tshs. Mil 1, (u dnt joke) as if unayo, wakati wewe ni muuza dawa za kienyeji wa tegeta, lakini unajifanyaga upo nje. Kisa, huwa una'download picha kwenye net, unapost na kujifanya unamiliki kinachoonekana kwenye picha! Too childsh.. How old are u? Have u ever been abroad?

Wadau,
Simsemi vibaya huyu jamaa, ila anaboa sana. Fungueni post zake mzisome, hasa zile za kuuza dawa zake za kienyeji.. Then u wil prove me right!

Badilika braza/sista..
Bragging sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

Bujibuji hiyo toka NAyo leo na kababy pembeni lala ukiwa mtungi kesho yake jisachi utajikuta umekuwa Lakinia kwenye umilion tunakusahau
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji umetisha. We noma.
Hongera sana bhana. Anza uwekezaji sasa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

Hahahah!!!

Mkuu hivi hili sio dili umepiga na jamaa wa soda ili kuendelea kuwatangaza zaidi?
 
Mimi nilifikiri una Mllioni moja Dollar? kumbe una shillingi Millioni Moja Pesa ya machungwa? Watu huku nje wana Dollar Millioni 1 Wa-Tanzania na tunawaona hawana pesa khaaaaa wewe unafurahisha sana.Mkuu Bujibuji
Mimi nina mapesa mengi, sema nikupe shilingi ngapi ukaongeze mke uzaramoni? Pia nitakulipia mahari na ngoma ya kukesha mwezi mzima.
 
Andaa hafla kwa wana JF ya kukupongeza kuuaga umasikini.
 
Mkuu,
watch out ur posts!! Kwanini unapenda sana kusema "huku nje"?? Au unaona watu watakushangaa sana kuwa nje?? Na umeonesha dharau kwenye tshs. Mil 1, (u dnt joke) as if unayo, wakati wewe ni muuza dawa za kienyeji wa tegeta, lakini unajifanyaga upo nje. Kisa, huwa una'download picha kwenye net, unapost na kujifanya unamiliki kinachoonekana kwenye picha! Too childsh.. How old are u? Have u ever been abroad?

Wadau,
Simsemi vibaya huyu jamaa, ila anaboa sana. Fungueni post zake mzisome, hasa zile za kuuza dawa zake za kienyeji.. Then u wil prove me right!

Badilika braza/sista..
Bragging sana wewe!
Njoo kule JF doctor nataka kumpima u great thinker mkuu MziziMkavu.
Topic ni kuhusu blood type na tabia ya mtu.
 
Back
Top Bottom