Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Nimeuaga umasikini, sasa ni milionea.

Naomba unielekeze wanapouza mikufu ile mikubwa kama minyororo ya kufungia makontena

Ingekuwa mimi ndo nimezipata hizo, haraka sana ningeenda kushughulikia umiliki wa bastola
 
Uncle Bujibuji naomba uitunze sana hiyo pesa ili siku ya msiba tusishinde njaa,inabidi uandae na maturubai kabisa April ndiyo hiyo inajongea kwa kasi ya ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana

Milioni moja halafu ndio umeuaga???? We noma
 
Naomba unielekeze wanapouza mikufu ile mikubwa kama minyororo ya kufungia makontena
mkuu hizo sehemu sizifahamu sana ila ninazifahamu bar maalufu kama namna gani vipi nikupeleke!
 
Mkuu Bujibuji wakikusikia watu wa R chuga wewe. Utaitwa Umberto Agnelli mda si mrefu.
 
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana
Bujibuji ifanyie biashara hiyo hela...kuna jamaa anauza vifaaa full set vya DSTV kuonyesha mpira, ligi Uingereza live bila chenga kule Mbagala...si wajua tena, pesa lazima izae?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji ifanyie biashara hiyo hela...kuna jamaa anauza vifaaa full set vya DSTV kuonyesha mpira, ligi Uingereza live bila chenga kule Mbagala...si wajua tena, pesa lazima izae?
Nimefungua FDR Fixed Deposit kwenye benki wakati nikifikiria shughuli ya kimaendeleo ya kuifanyia.
 
Back
Top Bottom