Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

Jichanganye sasa utajua hujui,hao ni wapopo mambo ya cyber crime wapo vizuri.
May be hata ni Mtz,we mjibu my fellow African I know your handwriting,or wambie we pia ni con.
Haaahaaaa
I know your handwriting 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa mkuu, naona wadau wakinambia ntalizwa, sasa sielewi ntalizwa vipi maana hii namba haina connection zozote na akaunti yangu ya benki, pia mpesa hakuna kitu, afu pia mtandaoni nina akaunti Samsung, google na microsoft pekee.
Jifanye tajiri una dola 50M unataka zihamishaia kwenye account yake utaona kaingia mitini ghafla.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.View attachment 2190443
"there is no free lunch my friend"... waswahili wakamilizia "hakuna cha bure mzeia"...
 
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.View attachment 2190443
Matapeli
P-IMG-20220415-WA0084.jpg
 
....Kimbia!...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mie jana nimetumiwa wapuuzi hao
 
Ok nimefanya kusearch picha mojawapo hiyo ambayo yupo mbele ya fensi, huku kuna ukoka na amevaa sare za unesi.

Nimekuta kwamba originally hiyo picha ilipostiwa facebook na member anayetumia jina la 'footdocdana' na hata picha ya fb ina hiyo nembo ya 'footdocdana' so aliyekutumia picha ameondoa hilo jina.

Nikaingia kwenye profile ya huyo member nikakuta kwamba ni public figure na hiyo picha ni ipo facebook ikitokea kwenye instagram page yake. Na instagram page ina jina la 'footdocdana'

Kule na facebook nikakuta picha nne ulizotumiwa.

Uliyenaye Whatsapp ni tapeli.

Nimescreenshot ig page yake.

Mimi ni specialist wa internet safety na hii huduma niliyokufanyia huwa nacharge 250,000/= ila kwakua leo ni sikukukuu nitapokea 100,000/=.

View attachment 2190490
Hahahahaha.......bado hujamshauri nini afanye against meseji hiyo! Aendelee au akimbie? Au hadi akutumie hiyo kilo 1?
 
Hii inaitwa chizi kakutana na mwenye stress😂😂
Jana nilicheka mwenyewe nilivyokuwa namuandikia hizo sms. Hawa jamaa inatakiwa pia uwakere na uwapotezee muda wao.

Nakumbuka Wale wa kipindi kile wa kupiga simu huku wanajifanya kukufahamu niliwahi wakera hadi wakanitukana na kuniita tapeli. Jamaa walinipigia saa 6 mchana kuwa wananifahamu, kisha akaniunganisha na mwenzake anipe dili. Mimi nina namba ya voda wao wana Airtell na Tigo. Nikambipu wa Airtell walioniunganisha naye, nikaanza ongea naye huku najivuta kwa dakika 8. Jamaa akaniunga na wa tigo, nikambipu, akapiga nikaongea naye kwa dakika 10. Kila akiniseti nakubali na nina onyesha nina shida sana ya pesa. Akasema niwatumie 300,000 nikakubali.

Baada ya muda nikambipu wa Airtell akanipiga, nikaongea nae dakika 15. Nikawa najiongelesha na muaminisha namtumia pesa. Nikambipu wa tigo, akanipiga nikaanza ongea naye tena kwa dakika 5. Nikawaambia subiri, nawatumia pesa sasa hivi. Nikawaambia naenda tafuta pesa na nikakaa kama saa 1 nikambipu wa tigo, tukaongea dakika 10. Nilikuwa naongea kwa kujivuta na kuwaaminisha nina pesa mkononi nawatumia. Nikamuuliza sasa pesa namtumia nani, akaniambia nimtumie mjomba wake aliyeniunganisha naye. Yule mwenye namba ya airtell. Saa 11 jioni, Nikamtumia sms wa airtell anipigie, akanipigia nikaongea naye tena kwa kujivuta na kuonesha nina hamu na pesa ya dili wanalonipa na 300,000 waliyotaka niwatumie nimeipata na nitaituma kisha"nikamwambia nyie hamuwezi nitapeli kumbe mnatapeli kiboya hivyo"

Hahaaaaaa jamaa akaanza nilalamikia kuwa kama nilikuwa najua wanachotaka nifanyia kwanini nilikuwa nawabipu, watumia sms na kuonesha kuwa nimekubaliana nao. Nimewapotezea muda na dakika zao za simu. Akaniita we tapeli tu na akaanza tukana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom