Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

Run run 🏃‍♀️ and run away mkuu hao ni wapopo wapo kazini,419 at their best
 
Tufanye Kazi kwa Bidii waTanzania wenzangu. Hakuna cha bure wala mserereko kwa sasa. Ukipenda kuteleza kwakutumia ganda la Ndizi utadondoka!

Ila siku zote nina amini ikitokea shortcut's ambayo ni halali na isiyo na chembe z utapeli pita nayo
Masuala ya kazi yanatoka wapi hapa mkuu, kwani wewe kuwa hapa jamiiforums uko kazini? Au kuna watanzania wanaokuja kula kwako kwa sbb hawafanyi kazi??
 
Mkuu, Hivi ukipokea ujumbe kama huu; "Tafadhali, ile hela nitumie kwa namba hii......" Utatuma?
Kwa vyovyote vile hutatuma kama hukuwa na mpango huo, urafiki hauombwi .... huyo jamaa mjibu tu kwa kifupi... ' It's good to know you and I wish you success in your endeavors' ... au vyovyote utakavyoona inafaa matapeli mtandaoni wako wengi, utalizwa.
 
Ok nimefanya kusearch picha mojawapo hiyo ambayo yupo mbele ya fensi, huku kuna ukoka na amevaa sare za unesi.

Nimekuta kwamba originally hiyo picha ilipostiwa facebook na member anayetumia jina la 'footdocdana' na hata picha ya fb ina hiyo nembo ya 'footdocdana' so aliyekutumia picha ameondoa hilo jina.

Nikaingia kwenye profile ya huyo member nikakuta kwamba ni public figure na hiyo picha ni ipo facebook ikitokea kwenye instagram page yake. Na instagram page ina jina la 'footdocdana'

Kule na facebook nikakuta picha nne ulizotumiwa.

Uliyenaye Whatsapp ni tapeli.

Nimescreenshot ig page yake.

Mimi ni specialist wa internet safety na hii huduma niliyokufanyia huwa nacharge 250,000/= ila kwakua leo ni sikukukuu nitapokea 100,000/=.

Screenshot_2022-04-17-09-56-11-76.jpg
 
Kuna wengine hao. Ila ninashangaa wanapataje namba za simu? Hiyo meseji imefika kwa SMS

Screenshot_20220417-100154_Messages.jpg
 
Kuna wengine hao. Ila ninashangaa wanapataje namba za simu? Hiyo meseji imefika kwa SMS
Screenshot_20220417-100154_Messages.jpg
 
Mkuu, Hivi ukipokea ujumbe kama huu; "Tafadhali, ile hela nitumie kwa namba hii......" Utatuma?
Kwa vyovyote vile hutatuma kama hukuwa na mpango huo, urafiki hauombwi hivyo huyo jamaa mjibu tu kwa kifupi... ' It's good to know you and I wish you success in your endeavors' ... au vyovyote utakavyoona inafaa matapeli mtandaoni wako wengi, utalizwa.
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa mkuu, naona wadau wakinambia ntalizwa, sasa sielewi ntalizwa vipi maana hii namba haina connection zozote na akaunti yangu ya benki, pia mpesa hakuna kitu, afu pia mtandaoni nina akaunti Samsung, google na microsoft pekee.
 
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, ebu tieni neno wakuu.View attachment 2190443
Mbona picha alizokuambatanishia wewe umeziminya hautaki hadhira tuzione?

Anataka akuingize mkenge chanzo kutafuta urafiki wa kalamu!

Hata hivyo nchi alizozitaja yeye kuzipenda, sifa hiyo wewe hauna maana hauziishi.

Mambo mengine yanayokufuata, si lazima uyafanyie kazi kwa muda huo.

Waweza kuya PA kwa muda limited kisha ukayafuatilia siku za usoni ili kuupata ukweli kwa faida ya kujiridhisha.

Kama ni utapeli utakuja kuufahamu tu, maana tapeli ana pupa, hana subira, hivyo subira ni chekecha la kuchambua ukweli na uongo.
 
Picha zipo hapo juu mkuu, kuna mdau ashazifanyia kazi na kupata akaunti halisi, mimi siwezi kuibiwa kizembe mkuu mambo ya zamani mno haya, acha anisaidie kusindikiza pasaka[emoji1]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa mkuu, naona wadau wakinambia ntalizwa, sasa sielewi ntalizwa vipi maana hii namba haina connection zozote na akaunti yangu ya benki, pia mpesa hakuna kitu, afu pia mtandaoni nina akaunti Samsung, google na microsoft pekee.
Kulizwa watu wanakomaanisha ni kuingizwa kwenye ushawishi ambao utakuvutia baadaye.

Kwani kurubuni ama kurubuniwa chanzo chake huwa ni nini, huwa ni kusikiliza ama kusikilizwa.

Kwa hiyo utakapoendeleza mawasiliano, uchukue pia tahadhari, maana lolote linaweza kutokea.

Mtu mwenyewe kaanza intro kwa kujishusha, daktari afu mpenda dini, huoni kaanza kutoa rangi rangi za kukuvutia kama chatu!
 
Kuna wengine hao. Ila ninashangaa wanapataje namba za simu? Hiyo meseji imefika kwa SMSView attachment 2190492
Hii niliipata nikaingia naye whatsapp.

Akanitumia maelekezo ambayo yanahitaji nideposit 10,000 kwenye akaunti zao kisha ndiyo nianze kufanya kazi.

Nilichohisi huenda ni roboti.

Maana ukiuliza swali hata la aina nyingine jibu linalokuja ni la kukueleza juu ya mfumo wao unavyofanya kazi.

Mtu wangu wa karibu akawa approached pia.

Huyu mtu wangu wa karibu tuna sifa sawa;
  • Wote ni job seekers.
  • Wote tupo linked in.
  • Wote tumeapply in same company recently.

Nikahisi namba wametoa huko.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa mkuu, naona wadau wakinambia ntalizwa, sasa sielewi ntalizwa vipi maana hii namba haina connection zozote na akaunti yangu ya benki, pia mpesa hakuna kitu, afu pia mtandaoni nina akaunti Samsung, google na microsoft pekee.
Mkuu umetaka ushauri JF na humu kuna hazina kubwa ya watu wenye uzoefu wa kugundua mienendo ya kitapeli ... Jamaa amejipamba tayari na anakutaka na wewe ufunguke, ukitaka kuhakikisha kuwa wanaokushauri humu wako sahihi, basi jifanye unataka urafiki nae uone mwisho utakuwaje. Kwa hakika utajifunza kitu.
 
Mambo mengine tumia akili yako na malizana nayo huko bila kuhusisha watu. Unge-delete na kumalizana naye hivyo hivyo, ungepungukiwa nini? Kila mtu mtu akileta hapa spam zake, JF itakuwaje?
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, ebu tieni neno wakuu.View attachment 2190443
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom