Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

Alafu usiwe mchoyo vzr kula na wenzio, mbona umeziba namba zake?, siungeziweka hadharani miamba tuchangamkie fursa
[emoji1][emoji2][emoji3]nliogopa kukiuka taratibu za jamiiforums bhana, si walisema ni marufuku kuweka chat za mtu hadharani?
 
Na mimi nilipata ujumbe kama huo last 2 weeks, na picha hizohizo alizokutumia, ila nimemute hadi leo
 
Nami nmejiuliza hili swali mkuu, au ni kubuni tu pengne.
Namba wana scan social sites ambapo sisi wenyewe huziweka kwa sababu mbalimbali, iko windows app unaweka site address kama jamiiforum inaanza kutafuta phone number na email addresses kwenye kila ukurasa, unaweza pata namba laki moja
 
Atakuwa ZAINAB OLADEHINDEEE huyo !!! Kuwa mwangalifu.
 
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.

Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
View attachment 2190443



Unapigwa. Hiyo picha niliona ni Dr anashare picha zake pinterest . Cheki hapo
 
Wanigeria wakishindwa kuwapiga wabongo usingizia wamebakwa Ili wapewe pesa
 
Hao ni matapeli hata mimi waliwahi kunitumia ujumbe huo huo, nilifanya uchunguzi binafsi, nikagundua wanatumia picha za Dr Dana Brems kufanya utapeli wao. Huyo Dr Dana Brems ni public figure Doctor. Bad thing sidhani hata kama anajua picha zake zinatumika vibaya na matapeli wa mtandao.
 
Huyu dada kama nilishawahi muona tiktok ni docta tena ac yake ipo verified sikumbuki jina,huyo tapeli anaweza kuwa mnigeria wengi wanatumia picha za wanawake wakizungu kutapeli watu mitandaoni kuwa makini!
Anaitwa Dr. Dana Brems ni public figure doctor, wanamchafua sana kutumia picha zake vibaya
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa mkuu, naona wadau wakinambia ntalizwa, sasa sielewi ntalizwa vipi maana hii namba haina connection zozote na akaunti yangu ya benki, pia mpesa hakuna kitu, afu pia mtandaoni nina akaunti Samsung, google na microsoft pekee.
Ukitaka ku-prove kwamba ni matapeli Jaribu kuita hiyo namba kwa simu ya kawaida(Kitochi au hata hiyo cm janja). Utapata jibu hili: "Namba unayopiga haipatikani kwa sasa ,Jaribu tena baadaye". 🤣 😳
 
Anaitwa Dr. Dana Brems ni public figure doctor, wanamchafua sana kutumia picha zake vibaya
Halafu mara nyingi wanadai wana fedha za kurithi kwa marehemu Mume ambapo maelekezo ya marehemu ni kwamba sehemu ya fedha hiyo itolewe Afrika kama msaada kwa Yatima na ameona wewe unafaa kwa kazi hiyo. Wanaahidi Gawio kwako.
 
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.

Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
View attachment 2190443
Tapeli huyo. Mie mwenyewe kuna siku nilikutana na sms whatsup kuangalia namba ya nje, nilivyoigoogle ni ya Vietnam[emoji3064]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom