josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.