Ok nimefanya kusearch picha mojawapo hiyo ambayo yupo mbele ya fensi, huku kuna ukoka na amevaa sare za unesi.
Nimekuta kwamba originally hiyo picha ilipostiwa facebook na member anayetumia jina la 'footdocdana' na hata picha ya fb ina hiyo nembo ya 'footdocdana' so aliyekutumia picha ameondoa hilo jina.
Nikaingia kwenye profile ya huyo member nikakuta kwamba ni public figure na hiyo picha ni ipo facebook ikitokea kwenye instagram page yake. Na instagram page ina jina la 'footdocdana'
Kule na facebook nikakuta picha nne ulizotumiwa.
Uliyenaye Whatsapp ni tapeli.
Nimescreenshot ig page yake.
Mimi ni specialist wa internet safety na hii huduma niliyokufanyia huwa nacharge 250,000/= ila kwakua leo ni sikukukuu nitapokea 100,000/=.
View attachment 2190490