FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,796
- 46,913
Matapeli ya Ki- Nigeria hayo
Yaani Mijamaa haibadili mbinuSame old shit. Message za matapeli uandishi ule ule wa miaka ya 2010
Wapenda mserereko hawakosekani!Yaani Mijamaa haibadili mbinu
Mie Nimejaza Email zao Ila utakuta kunamjinga Anaingilika kabisa
Hebu hizo picha alizokutumia. Maana Nina jamaa yangu nae ametumiwa msg hiyo hiyo na mtu anayejifanya kuwa ni demu, then alituma pia na picha kadhaa akiwa na nguo za blueNikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.View attachment 2190443
Ndo hizi hizi hizi picha zenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]
Jana pia nilipokea ujumbe huohuo na country codw hiohioNikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
View attachment 2190443
mmh 😅😅😅😅😅 mbona simpleOk nimefanya kusearch picha mojawapo hiyo ambayo yupo mbele ya fensi, huku kuna ukoka na amevaa sare za unesi.
Nimekuta kwamba originally hiyo picha ilipostiwa facebook na member anayetumia jina la 'footdocdana' na hata picha ya fb ina hiyo nembo ya 'footdocdana' so aliyekutumia picha ameondoa hilo jina.
Nikaingia kwenye profile ya huyo member nikakuta kwamba ni public figure na hiyo picha ni ipo facebook ikitokea kwenye instagram page yake. Na instagram page ina jina la 'footdocdana'
Kule na facebook nikakuta picha nne ulizotumiwa.
Uliyenaye Whatsapp ni tapeli.
Nimescreenshot ig page yake.
Mimi ni specialist wa internet safety na hii huduma niliyokufanyia huwa nacharge 250,000/= ila kwakua leo ni sikukukuu nitapokea 100,000/=.
View attachment 2190490
Ndugu zake Zainabu haoNikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
View attachment 2190443
Ah wee bei haishuki. Sa mi nikale wapi?mmh 😅😅😅😅😅 mbona simple
anaeza chukua hio picha afu anaenda google ana search kutumia “picha” very simple
ushushe bei sasa 😅😅😅
Mama anaupiga mwingi,Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
View attachment 2190443
mhhh!!! Alooo!!! umepata dodo chini ya muembe, changamka akutumie dollar huyo.
Utapigwa soon [emoji2][emoji2]Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nimejiuliza maswali mengi ila majibu sina, wanatoa wapi namba zetu hawa wahuni wakuu.
View attachment 2190443
Mkuu wewe😂😂😂 hakika uliwakomesha, ila nao huwa wanawapata watu na kuwatapeli, mimi huwa nikiona tu maongezi yao siyaelewi nawaambia tu nyie tapeli nimewagundua basi wanakasirika na kukata simu. Hiyo ya kwako ni komesha😀Jana nilicheka mwenyewe nilivyokuwa namuandikia hizo sms. Hawa jamaa inatakiwa pia uwakere na uwapotezee muda wao.
Nakumbuka Wale wa kipindi kile wa kupiga simu huku wanajifanya kukufahamu niliwahi wakera hadi wakanitukana na kuniita tapeli. Jamaa walinipigia saa 6 mchana kuwa wananifahamu, kisha akaniunganisha na mwenzake anipe dili. Mimi nina namba ya voda wao wana Airtell na Tigo. Nikambipu wa Airtell walioniunganisha naye, nikaanza ongea naye huku najivuta kwa dakika 8. Jamaa akaniunga na wa tigo, nikambipu, akapiga nikaongea naye kwa dakika 10. Kila akiniseti nakubali na nina onyesha nina shida sana ya pesa. Akasema niwatumie 300,000 nikakubali.
Baada ya muda nikambipu wa Airtell akanipiga, nikaongea nae dakika 15. Nikawa najiongelesha na muaminisha namtumia pesa. Nikambipu wa tigo, akanipiga nikaanza ongea naye tena kwa dakika 5. Nikawaambia subiri, nawatumia pesa sasa hivi. Nikawaambia naenda tafuta pesa na nikakaa kama saa 1 nikambipu wa tigo, tukaongea dakika 10. Nilikuwa naongea kwa kujivuta na kuwaaminisha nina pesa mkononi nawatumia. Nikamuuliza sasa pesa namtumia nani, akaniambia nimtumie mjomba wake aliyeniunganisha naye. Yule mwenye namba ya airtell. Saa 11 jioni, Nikamtumia sms wa airtell anipigie, akanipigia nikaongea naye tena kwa kujivuta na kuonesha nina hamu na pesa ya dili wanalonipa na 300,000 waliyotaka niwatumie nimeipata na nitaituma kisha"nikamwambia nyie hamuwezi nitapeli kumbe mnatapeli kiboya hivyo"
Hahaaaaaa jamaa akaanza nilalamikia kuwa kama nilikuwa najua wanachotaka nifanyia kwanini nilikuwa nawabipu, watumia sms na kuonesha kuwa nimekubaliana nao. Nimewapotezea muda na dakika zao za simu. Akaniita we tapeli tu na akaanza tukana.