- Thread starter
- #81
Ahsante sana kwa ushauri mkuu Mlatinoh kingnenda kwa balozi then frm there mtafika mpka kwa mtendaji
Ahsante sana kwa ushauri mkuu Mlatinoh kingnenda kwa balozi then frm there mtafika mpka kwa mtendaji
Sawa mkuu wanguMkuu utafanyaje hayo mambo ya kisheria ni mapana sana na hata kama ukilipwa fidia it doesn't matter nakushauri tafuta watu wa kazi usiku mnene tena huko mwanza siku hizi mvua zinanyesha wamalize miti yote
Yaani dada Nahuja, hiyo ndio kiboko ya wanaoleta ukorofi, vinginevyo labda kama sio mwanamke wa mjini! Unajua wanawake mna nguvu hata ya kuvunja safe ya BOT!
Askari wa cheo cha chini sana huyo, kamripoti kwa mkuu wake wa kituo tu na kesi inaishia hapo. Tena mwambie kwa uwazi kuwa kwa kuwa mmeshindwa kuelewana basi unapeleka hilo suala kwa mkuu wake wa kazi.Koplo
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri mkuuAskari wa cheo cha chini sana huyo, kamripoti kwa mkuu wake wa kituo tu na kesi inaishia hapo. Tena mwambie kwa uwazi kuwa kwa kuwa mmeshindwa kuelewana basi unapeleka hilo suala kwa mkuu wake wa kazi.
Vv
Ahsante sana mkuu Bilionea AsigwaBaraza la kata la ardhi linatatua hilo suala.
Atapewa notisi ya kukata tena kwa gharama zake.
Tena kama viwanja vimepimwa ni much better
Mie mwoga sana mkuu!!! Ni jasiri tu hapa kwenye keyboard nikiwa JF lakini kwa nje sio jasiri kabisa yaani..yani niweke familia yangu kwenye wasiwasi wa kiusalama kisa jiran anataka aongeze thaman ya kiwanja chake..subra na uvumilivu wa hivyo ndo umeturudisha wengi nyuma...yaan ungetakiwa uje na thread yenye heading ya,JÀNA USIKU NIMEKATA MITI MINNE YA JIRANI,HAPA NASUBIRI KITAKACHOTOKEA NIPAMBANE NACHO
Angalia usije kuogopa hata kivuli chako. Amua ama kuwa muoga au kuwa jasiri. Ukiwa jasiri hata adui yako atakuogopa lkn ukiwa muoga, hata mbwa koko atakukimbiza, kuwa muoga au jasiri ni suala la kuamua tu, kumbuka hofu ni mlango wa adui.Mie mwoga sana mkuu!!! Ni jasiri tu hapa kwenye keyboard nikiwa JF lakini kwa nje sio jasiri kabisa yaani
Ahsante kwa ushauri muzi1. Jenga hoja kwa majirani na wazee wenye busara wanaoheshimika hapo mtaaani wakikupa support mwitishe kikao kuongelea madhara ya huo mti, uwe tayari kutoa miti rafiki ya kuitunza kwa muda
2. Kama ikishindikana peleka kwa baraza la ardhi la kata na akikataa barua ya baraza wa state kuwa madhara yatakayojitokeza au kusababishwa na huo mti mwenye mti atawajibika kisheria na kulipa fidia
Jaribu sana kutumia njia ya ujirani mwema kusuluhisha ikishindikana vaaa buti na songa mbele
PreciselyAngalia usije kuogopa hata kivuli chako. Amua ama kuwa muoga au kuwa jasiri. Ukiwa jasiri hata adui yako atakuogopa lkn ukiwa muoga, hata mbwa koko atakukimbiza, kuwa muoga au jasiri ni suala la kuamua tu, kumbuka hofu ni mlango wa adui.
The only thing you need to fear is the fear itself!
Vv
Kazidi kusisitiza kuwa niende popote wala simtishi!Nahuja, mmemalizanaje na yule njagu jirani yako?
Vv