Ombo la Msaada/Ushauri: Kanisa pembeni ya nyumba yangu limekuwa kero

Ibrahim A.S

Member
Sep 13, 2015
6
2
Habari wanandugu,

Mimi ni mkazi wa gongo la mboto (mongola ndege), maisha yalikuwa safii tu bila usumbufu wowote ila sasa kuna kiwanja cha jirani hapa wamefungua kanisa.

Ni ibada sawa hakuna pingamizi kwenye hilo, ila sidhani kama alifuata taratibu zozote za kimakazi katika kuanzisha kanisa hilo, maana kwa majirani wote limekuwa ni kero.

Imefikia hatua katika kupanua kanisa lake anaingia hadi kwenye mipaka yangu na kufanya baadhi ya uharibifu kama kukata miti yangu, kugongea bati lake juu ya bati langu na mwengine mengine bila kuongea na mimi chochote.

Najaribu kuuliza na kuomba msaada hatua gani nifanye kuondoa huu usumbufu hapa maana uvumilivu na ustaarabu umeshanishinda kwa kweli.

Shukrani.
 
Mreport Serikalini- anza na Serikali ya mtaa wenu. Fuatilia kujua kuwa kiwanja kina document kama Ni ruhusa kuwepo hapo(kibali cha kujenga Kanisa).

Kama wakazi mna haki ya kukataa ujenzi au kumkataa jirani kama matendo yake yanakinzana na Amani na ustawi wa jamii inayomzunguka.
 
Kaeni Chini, Mpe dau lako akupe pesa utembee.
Mimi kuondoka ni ngumu, pia yeye sidhani kama anashida ya kuongeza plot, maana plot yake ni kubwa ni kwamba tu kanisa analipanua kuja kwenye nyumba yangu wakati angeweza kuongeza kwa upande mwingine.

Hakuna namna za kisheria za kimakazi zinawezesha sisi majirani kuweza kutatua hili?
 
Mara nyingi linapokuja swala la Taasisi, mambo yanakuwa mengi kidogo.

Mimi Nashauri Kaa na Mwenye kanisa, muulize ana nia gani yakupanua kanisa kuelekea kwako.

Shirikiana na Mwenyekiti wako wa Mtaa.
Na Ukiona anakukera sana Mwambie akupe pesa uhamie sehemu nzuri.

Anaweza kukupa pesa nzuri, ukapata sehemu nzuri zaidi iliyotulia. Ukahama huko Gongo la Mboto.
 
Kiwasheni. Na nashukuru Jaffo ameshatangaza rasmi kuna makanisa yatafungwa mengi sana. Am so happy. Mtu ameamka tu ameota zake anaenda fungua kanisa kwa kuweka maturubai
Makanisa yabakie yenye Taasisi kubwa

SDA
RC
KKKT

Hayo mengine yenye Mtu mmoja kama mmiliki yatupiliwe mbali.

Hivi Walokole waliambiwa lazima watumie spika kubwa ndo Mungu asikie?
 
Makanisa yabakie yenye Taasisi kubwa

SDA
RC
KKKT

Hayo mengine yenye Mtu mmoja kama mmiliki yatupiliwe mbali.

Hivi Walokole waliambiwa lazima watumie spika kubwa ndo Mungu asikie?
Wapimbavu hawa. Kuna huyo mmoja ni mlatoliki ila ametengwa na kanisa. Anatumia kivuli cha kikundi cha mama bikira maria. Nataka nimfundishe adabu. Nina maono toka awali. Nashukuru limeniangukia mimi kama mimi. Nitadeal nae vyema. Hataamini atavyofungiwa
 
Mreport Serikalini- anza na Serikali ya mtaa wenu. Fuatilia kujua kuwa kiwanja kina document kama Ni ruhusa kuwepo hapo(kibali cha kujenga Kanisa).

Kama wakazi mna haki ya kukataa ujenzi au kumkataa jirani kama matendo yake yanakinzana na Amani na ustawi wa jamii inayomzunguka.
Shukrani sana mkuu.
 
Kiwasheni. Na nashukuru Jaffo ameshatangaza rasmi kuna makanisa yatafungwa mengi sana. Am so happy. Mtu ameamka tu ameota zake anaenda fungua kanisa kwa kuweka maturubai
Yani icho ndo kinachoendelea hapa ndugu yangu.. yani ni kero kiukweli
 
Wapimbavu hawa. Kuna huyo mmoja ni mlatoliki ila ametengwa na kanisa. Anatumia kivuli cha kikundi cha mama bikira maria. Nataka nimfundishe adabu. Nina maono toka awali. Nashukuru limeniangukia mimi kama mimi. Nitadeal nae vyema. Hataamini atavyofungiwa
Huyu wangu nikupe nae udeal nae aisee kwa gharama yoyote mkuu wangu
 
Kelele kwakweli zinakela mnooo,mara mkesha.....mi wananikelaga wale wa saa 11 waislamu likipaza sautiii Dah tunavumiliana tu ila siku nikiwa tu hata kitongoji nakataza keleleen
 
Mtu umelala saa 11 pisi Kali imelalia kifua,jamaa linabwekaaa jamaan waumin hawanasaaa inamaana
 
Njoo nikupe mbinu ya kutengeneza grenade hakikisha hakuna mtu yoyote ndani ya kanisa au nje kabla ya kulipua ilo jengo
 
Back
Top Bottom