Nimetofautiana na jirani yangu, naombeni ushauri

Kata tu akuleleke kwenye baraza la ardhi yaongelewe na labda ulipishwe faini ugomvi uishe. Mie jirani yangu mkorofi sana, nlimfanyia hivyo kwa miti aliyootesa bila ridhaa yangu kwenye mpaka!!
Aisee!
 
kama uko njema wizara ya mkwanja kinunue ru icho kiwanja, jamaa ana njaa na anatumia iyo sababu kijanja kukufikishia ujumbe kwamba kinunue ye hana mpango/uwezo wa kujenga.
 
Ahsante sana Wakili msomi Petro E. Mselewa. nashukuru
Fanya hivi kwa kuwa wewe unataka ikatwe miti minne na yeye kakubali kukata mmoja mkubalie akate huo mmoja, then tafuta jamaa yako mnayeelewana mpe pesa Anunue hiyo miti mitatu iliyobaki, kwa bei ya mikaratusi yaweza kuwa elfu 20 @.
 
Hiyo ya kukata miti siwezi ni mirefu sana inatakiwa kukatwa kwa ufundi ili isiangukie nyumba. Kuhusu kumtandika makofi sina nguvu za kumpiga ni mwanamme. hahahahah mimi ni mwanamke. Kumlaza selo ni ngumu ni POLISI
Unaweza kuikausha hiyo miti pia kimya kimya... Akashangaa inakauka tuu
 
Fanya hivi kwa kuwa wewe unataka ikatwe miti minne na yeye kakubali kukata mmoja mkubalie akate huo mmoja, then tafuta jamaa yako mnayeelewana mpe pesa Anunue hiyo miti mitatu iliyobaki, kwa bei ya mikaratusi yaweza kuwa elfu 20 @.
Ahsante kwa ushauri
 
kama uko njema wizara ya mkwanja kinunue ru icho kiwanja, jamaa ana njaa na anatumia iyo sababu kijanja kukufikishia ujumbe kwamba kinunue ye hana mpango/uwezo wa kujenga.
Ni kweli alishaniambia ni panunue nikamwambia mie sipahitaji.
 
Hiyo ya kukata miti siwezi ni mirefu sana inatakiwa kukatwa kwa ufundi ili isiangukie nyumba. Kuhusu kumtandika makofi sina nguvu za kumpiga ni mwanamme. hahahahah mimi ni mwanamke. Kumlaza selo ni ngumu ni POLISI
Nawewe ninani
 
Back
Top Bottom