Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,875
wasemaje????????????????
mkuu tb
fafanua wataenda kigogobasi usipotaja pemben wapi ama waonyeshe ma nyuma ya mji
aisee upo mkuu
wasemaje????????????????
ndugu zangu nisaidieni kama naweza kuwapata walionitapel na warejeshe malipo niliyoyatoa.
Siku moja nilienda sinza kwa remy nikitafuta nyumba!nilionyeshwa dalali na nikazunguka naye,nyumba alizonionyesha sikuridhika nazo!baada ya cku 2 nikapigiwa simu na akasema umepata nyumba?nilimjibu bado then kanambia njoo kwa remi kuna nyumba!ndugu zangu nilitoka posta haraka,nilipofika kwa remi nilimpigia simu akanambia kuwa yeye ameenda kumuonyesha mtu shamba lkn ana kijana wake anaitwa fred,after 6mins alikuja kijana akatupeleka kuangalia nyumba.niliona nyumba nikamuuliza mwenye nyumba yupo wapi?akasema makongo!kesho yake huyu fred(0656389300) akatupeleka makongo kwa mwenye nyumba tukalipa.
Siku ilifika ya kuhamia kabla ya kuhama tuliwasiliana na yule mwenye nyumba hapatikan kwa simu.kumbe tumelipa kwa mtu fake.nilifungua rb na nilienda na police wawili pale nilipolipia geti halikufunguliwa!siku nyingine niliwachukua ten a police wa upelelezi tukavizia mvua inanyesha tukapiga hon getin get likafunguliwa.kijana akatukaribisha sebulen,wale polise wakiwa na nguo za kiraia walimuuliza yule kijana mzee yupo akasema yupo wakamwambia sisi nin wagen wake.ile nyumba ina kigorofa na yule kijana alipanda juu dk5 akashuka akasema kwan hamkuwasiliana na mzee kwa simu?
Mzee hayupo yupo zanzibar na anakuja leo jion.police walimwabia yule kijana tupe namba zake yule kijana akatoa namba na polise alipiga ile no. Jamaa akapokea akasema hayupo zanzibar na anafanya kazi bank na hataki usumbufu kama police wapo kwenye nyumba yake basi waichukue au waichome moto,ila huyu jamaa naamin alikuwa ndan nikawambia polisi wakasema hawana search warrant.tukarudi.
Ndugu zangu nawaombeni mawazo yenu au ushauri ili tuwakamate hawa matapeli waweze kurudisha hizi hela kwan nilikopa ndugu zangu.ahsanten
na chenji inabaki,hivi ile mansion yako imeisha nije kuzindua?
Yeuwiiiiii, mbona nimedata? Tuhela twangu tutatosha kweli kujenga????? Ngoja nikae chini nilie kwanzaacha masikhara hebu nipe mchanganuo...Faundation tofali ngapi?na bei ya tofali, anayechimba analipwa ngapi...fundi wa hizo tofali analipwa ngapi, jamvi after foundation litachukua kokoto za shilingi ngapi, cement ya kiasi gani, mafundi wa zege wanalipwa ngapi.
then twende tofali za hapo juu, zitaingia ngapi, mchanga kiasi gani, cement kiasi gani. then Linta, nondo za MM ngapi na bei gani, kokoto plus cement. kisha twende kupaua, mbao za bei gani, misumari kilo ngapi na bei yake, kenchi wire, bati, na misumari ya bati. fisher board, blundering, ceiling board, wire-ring ya hiyo nyumba, ripu, septic tank ya choo (au itakuwa choo cha shimo?aka puto??) mabomba, rangi, sakafu na i dont know....hebu nipe mchanganuo millioni sita inatoshaje?...
otherwise Smile hizo ni porojo tu za kijiweni kuwa utajenga kwa million 6.
Mtazamo!Mwenye nyumba halisi wa ile nyumba ya Sinza kumbe anaishi Arusha lakin huyu Fred alitupeleka kulipia Makongo juu kwenye nyumba tunaambiwa ni ya MOSHI Majungu alikuwa mchezaji wa zaman wa Yanga
Walinitapeli million sita
Kumbe ndiyo maana wanasema SINZA KWA WAJANJA!
Hahahaa, sema wamemkuta mtu mwenyewe siyo m-nazi, ingekuwa wengine wana roho nyembamba unazama ndani na glock unaanza kutandika kuku kwwanza, atatoka wenyewe mikono juu!
Shida yote ya nini? Kama kweli wamemtapeli basi aende Tanga - Pangani na akirudi huko aanze kuhesabu maturubai siku baada ya siku...kule hairudi bure!
Mkuu unalipa milioni sita pasipo kushirikisha ushahidi wa maaana wala mwanasheria?Ahsanten ndugu!Million tatu nililipa cash!the rest kwa tigo pesa kwan alinambia amefiwa anazika Mpwapwa kwa hiyo nimtumie ili awatumie mafundi wamalizie ukarabati
6M usawa huu? si mchezo kaka, hizo UMENYANG'ANYWA, haujatapeliwa, ukitapeliwa ni ngumu kuzipata, lakini kwa vile aliyekunyang'anya unamjua na nyumba unaifahamu basi ukikomaa utapata haki. Siku unamkabidhi pesa ya kwanza kulikuwa na mashahidi? Cha kufanya fanya upelelezi mwenyewe, hata kwa majirani umjue anayeishi hapo ni nani, na kama ndiye aliyekutapeli unaenda kufungua mashtaka polisi kesi iende mahakamani, mahakama ikiwita atatia mguu tu kwa maana asipotia mguu bado sheria itachukua mkondo. Peleka kesi mahakamani, wajumuishe na hao madalali, aliyekulengesha kwa hao madalali anaweza kukusaidia pia.
Starehe zote utazipata sinza kwa wajanja bhana...mil 6 si unanunua kiwanja na kujenga vyumba viwili vya kuanzia maisha?au mnaonaje