Hekaya za Abunuasi
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 166
- 38
- Thread starter
- #81
Kwenye sheria za mikataba ya kuuziana ardhi/nyumba kuna principle moja inasema "caveat emptor" aka "let the buyer be aware".
Sheria hii inatokana na kwamba wakati muuzaji huwa anakuwa na habari kuhusiana na ardhi/nyumba anayotaka kuiuza, mara nyingi mnunuaji anakuwa hana habari za kutosha kuhusiana ardhi/nyumba anayotaka kuinunua.
Kwa hiyo, muuzaji anaweza kuficha baadhi ya habari muhimu kuhusiana na anachouza. Hapo mnunuaji lazima afahamu hizo habari. lazima awe makini kwa kujidhihirisha mwenyewe mmiliki halali wa hiyo nyumba.
Ukiwa kama mnunuaji ulitakiwa ujue kwanza mmilikaji halali wa hiyo ardhi/nyumba. Kwa maelezo yako, inaonyesha kuwa hukufanya checks kujua kama kweli "muuzaji" alikuwa mmiliki halali wa hiyo nyumba.
Yaani mtu hawezi kukupigia simu na kukuambia kuwa "njoo kwa Remi kuna nyumba" na wewe ukaenda, then baada ya kuiona nyumba ukaenda moja kwa moja "makongo kwa Mwenye nyumba" na kumlipa bila hata kuhakikisha kuwa kweli yeye ni mmiliki halali wa hiyo nyumba.
How come unampa mtu pesa zote hizo bila hata kumtaka adhibitishe kwanza kuwa anamiliki hiyo nyumba kisheria? Even the richest person on earth hatafanya hivyo.
Pole kwa yaliyokukuta lakini as a buyer, you should have been aware. I hope wewe na wengine watajifunza ili in future msiingizwe tena mkenge kiulaini hivyo. Hata hivyo, this is not one of those things you should have learned in a hard way.
Thank you very much!!!