Nimetapeliwa Sinza

Nimetapeliwa Sinza

Badili namba ya simu mtumie pess huyo Fred kwa M pesa ila uwe umeeshapanga na watu wa Vodacom wafunge hiyo account yake. So akienda kwa wakala kutoa itamgomea kutoa. So wakala atapiga simu Vodacom kuulizia kama kuna mteja katumiwa pesa ila ameshindwa kuitoa. Hapo ndipo jamaa wa Vodacom watakapo watonya mapolisi ili wamkute kwa wakala akiwa anasubiria kupewa jibu.
Huu mtego Tigo walishawahi utumia wakawanasa jamaa wote kwa pamoja kama kuku.

Ahsante Mrigariga
 
Mbona kazi rahisi tu sema lazima utoe rushwa kwa polisi otherwise jamaa atawapa rushwa polisi, wape rushwa wachukue seach warrant kisha nendeni Tigo chukueni position alipo kupitia simu mtampata! Mvizieni akiwa kwake nendeni na search warrant, akikataa hayuko home mseach mtamkamata kama kuku, kisha chukuen ushahidi wote yaani tigopesa transfer, mkataba, mpelekeni mahakamani.

Rich pol!ahsante sana mkuu
 
Hivi dar mitaa gani unaweza kujenga hata chumba kwa million 6 bado hapo hujanunua kiwanja!

Tatizo mnang'ang'ania Dar ktkt tu. ujana acheni, nendeni pembeni ya mji, mil 6 unafanya kitu cha maana tu hata kama hujengi nyumba nzima. Mnapenda kubanana Sinza wote, shauri yenu
 
Anza na huyo dalali ulowasiliana nae kwa mara ya kwanza pia na fred. Ukishawapata wasweke ndani hadi wakuletee mtu ulomkabidhi pesa.

Hapa ndo huwa sishangai kwanini watu wanakuwa serial killers.
 
Mbona kazi rahisi tu sema lazima utoe rushwa kwa polisi otherwise jamaa atawapa rushwa polisi, wape rushwa wachukue seach warrant kisha nendeni Tigo chukueni position alipo kupitia simu mtampata! Mvizieni akiwa kwake nendeni na search warrant, akikataa hayuko home mseach mtamkamata kama kuku, kisha chukuen ushahidi wote yaani tigopesa transfer, mkataba, mpelekeni mahakamani.

Mkuu Rich pol labda kwa kumsaidia HEKAYA na watu wengine walio na shida kama yake, huo utaratibu wa kwenda kwenye mitandao ya simu inagharimu shillings ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Dalili ya kwanza kujua unatapeliwa ni kukataa bank transaction. Ukiona
 
Tajiri hataki pesa umuwekee bank kimbia.
Dalili ya pili. Wanatengeneza mazingira ya kuonyesha uhitaji wa hiyo pesa haraka sana. Hii ni kuogopa issue kabla haijabumbuluka wawe wameshakutengeneza tayari na wametawanyika.
Kawaida muhitaji ndiye anapashwa kuwa na haraka na si mwenye nyumba. Ukiona mwenye nyumba anakuharakisha. We mwambie nipe account yako ya bank utamuona atakavyoruka. Kimbia sana.
 
Ukienda kama wewe watakula laki, jamaa anakuwa anakupigia simu kukupa position ya jamaa alipo, lakini akienda polisi kikazi anapewa bure! Ila siku hizi kuna mtego wa kumkamata mhalifu, anatumiwa Hele nyingi ktk simu yake ambayo hawezi kutoa mpaka kwa wakala mkubwa, wanaangalia na eneo alipo na wakala mkubwa Yuko wapi karibu yake! Ataingia tamaa kuona zimeingia kwake ki makosa, akitaka kuhamisha mtandao unakuwa busy, akienda kwa wakala, transfer za hivyo wanazijua, ata delay mpaka mnamkamata.
 
Asante sana mkuu
 
Hela alipokea naomba nitafute nikupeleke Sumbawanga ili awekewe dawa ya kunya noti pila kukoma. anacheza na pesa ya mtu eti.
 
Dalili ya kwanza kujua unatapeliwa ni kukataa bank transaction. Ukiona
Tajiri hataki pesa umuwekee bank kimbia.
Dalili ya pili. Wanatengeneza mazingira ya kuonyesha uhitaji wa hiyo pesa haraka sana. Hii ni kuogopa issue kabla haijabumbuluka wawe wameshakutengeneza tayari na wametawanyika.
Kawaida muhitaji ndiye anapashwa kuwa na haraka na si mwenye nyumba. Ukiona mwenye nyumba anakuharakisha. We mwambie nipe account yako ya bank utamuona atakavyoruka. Kimbia sana.

Ni sahihi kabisa mkuu ndio yaliyonikuta pale Sinza kwa Remmy
 
Ukienda kama wewe watakula laki, jamaa anakuwa anakupigia simu kukupa position ya jamaa alipo, lakini akienda polisi kikazi anapewa bure! Ila siku hizi kuna mtego wa kumkamata mhalifu, anatumiwa Hele nyingi ktk simu yake ambayo hawezi kutoa mpaka kwa wakala mkubwa, wanaangalia na eneo alipo na wakala mkubwa Yuko wapi karibu yake! Ataingia tamaa kuona zimeingia kwake ki makosa, akitaka kuhamisha mtandao unakuwa busy, akienda kwa wakala, transfer za hivyo wanazijua, ata delay mpaka mnamkamata.

Thanks;Noted.
 
Kwenye sheria za mikataba ya kuuziana ardhi/nyumba kuna principle moja inasema "caveat emptor" aka "let the buyer be aware".

Sheria hii inatokana na kwamba wakati muuzaji huwa anakuwa na habari kuhusiana na ardhi/nyumba anayotaka kuiuza, mara nyingi mnunuaji anakuwa hana habari za kutosha kuhusiana ardhi/nyumba anayotaka kuinunua.

Kwa hiyo, muuzaji anaweza kuficha baadhi ya habari muhimu kuhusiana na anachouza. Hapo mnunuaji lazima afahamu hizo habari. lazima awe makini kwa kujidhihirisha mwenyewe mmiliki halali wa hiyo nyumba.

Ukiwa kama mnunuaji ulitakiwa ujue kwanza mmilikaji halali wa hiyo ardhi/nyumba. Kwa maelezo yako, inaonyesha kuwa hukufanya checks kujua kama kweli "muuzaji" alikuwa mmiliki halali wa hiyo nyumba.

Yaani mtu hawezi kukupigia simu na kukuambia kuwa "njoo kwa Remi kuna nyumba" na wewe ukaenda, then baada ya kuiona nyumba ukaenda moja kwa moja "makongo kwa Mwenye nyumba" na kumlipa bila hata kuhakikisha kuwa kweli yeye ni mmiliki halali wa hiyo nyumba.

How come unampa mtu pesa zote hizo bila hata kumtaka adhibitishe kwanza kuwa anamiliki hiyo nyumba kisheria? Even the richest person on earth hatafanya hivyo.

Pole kwa yaliyokukuta lakini as a buyer, you should have been aware. I hope wewe na wengine watajifunza ili in future msiingizwe tena mkenge kiulaini hivyo. Hata hivyo, this is not one of those things you should have learned in a hard way.

i love this!
 
Jf mnadhambi

huyu ni baba wa watoto watatu

pili amekopa jua kuna riba

tatu msaidien

nne ongeza sala usimtegemee sana binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom