Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 448
Jamaa mleta hoja anaweza kuwa kasikia mtu anaadisia,Siyo mkweli awapigi kiasi hicho laki 2na 20 ukute hamsini.Sema kwenye hesabu yake kapigwa hamsini
Pole.We tamaa yako ya kuonyeshwa rate ya juu kuriko unazoziona kwenye mbao za maduka.
We kesho rudi mitaa hiyo utawaona.Polesi wanajua tatizo ujasema ulikuwa wabadilisha dora ngapi.?
Wazungu na baadhi wa wageni wanje wamekuwa wanalizwa.SIYO MAZINGAOMBWE NI WEWE UNAKUWA HAUKO MAKINI KUHESABU.Pole kesho utakuwa mjanja tena
Jamaa mleta hoja anaweza kuwa kasikia mtu anaadisia,Siyo mkweli awapigi kiasi hicho laki 2na 20 ukute hamsini.Sema kwenye hesabu yake kapigwa hamsini
sema umejitapeli mwenyewe kutokana na uchu wako wa kupata pesa nyingi, angalia uenda wakakuijia na wewe usiku maana pesa za freemanson bado unazo.
Mpaka mahala fulani panafikia kuitwa city centre ujue kuna kila aina ya utafutaji wa halali na haramu.
Yawezekana pesa yako ya kigeni haikuwa halali ndio maana imerudi ilikotoka.Anyway ni mtazamo tu.
Unbelievable! hii lazima umetunga tu, no way, absolutely impossible.
Yaani leo, Machi 2013, uibiwe kiZOMBIE namna hiyo? no way.
Kama ni kweli basi AMKA!.
Babuyao, pole sana!! Lakini wakati mwingine ni mipango ya kukuandaa kupata pesa nyingi zaidi!! kwa hiyo usisikitike sana. We chukulia tu kuwa hiyo pesa umeichange kwa exchange rate ya chini sana.
Asante Bi Mkora kwa ushuhuda wako. Nashangaa watu hawaamini. Mi naugiza maumivu ya kutapeliwa. Wawe makini uasijewakuta. Ila nashangaa serikali ikp wapi jamani?? Wale watu wako organised inavoonekana maana jamaa alinijongea kw uhuru na kujiamini sana tena kwa lugha laini ya kiutu isiyotia shaka. Naomba sana viongozi wa serikali mnaopitia mtandao huu mlimulike tatizo hili. Ni kubwa sana kwa kweli. Wako wapi viongozi wetu?Ndugu yangu amini usiamini hao watu wapo, hata mimi nilishawahi kukutana nao, wakaniambia kuwa kuna mtu ana change kwa bei nzuri, nikawajibu asante nikaishia zangu. Sasa wewe unayesema unbelievable subiri mpaka yakukute ndio uta believe. Hata hivyo jamaa ametoa tahadhari tu kwa vile yamempata yeye yasije yakampata mwingine.
Tatizo lako ni mchumi sana
Umetapeliwa kimazingaombwe au Kikondoo? Wewe mtu anakuja anakuzoa kama gunia?
Hapana kaka mi sitapeli wala sijawahi kudhulumu mtu. Nasema kwa kumuogopa Mungu. Pesa yangu ilikuwa halalli kabisa. Basi tu mwanadamu ni mbinafsi sana kiasi cha kuwa tayari kumtapeli mwingine ili afaidike. Mungu atawapa haki yao inayofanana na matendo yao.
Awa jamaa wanakupa rate ya Dola ambayo uwezi kuikataa,Usifikirie kuwa wanatumia uchawi!wanakupa an Offer that you can not refuse!Lazima uingie King.