Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Mara nyingi ni ugonjwa hizo harufu girls tujitahidi kutumia zaidi natural remedies maziwa ya mgando,maji mengi, chupi za cotton pia ukinawa usiingize vidole usimeze sana dawa za antibiotics vitu kama hivyo huwezi kupata harufu za kukera mtu uke unakua na harufu natural kabisa.
[emoji1545][emoji1545]
 
Nimekaa nimefikiria sana tuwasaidieni mademu zetu wakiwa na tatizo kama hilo,na hakuna kitu mwanamke anapenda kama kufichiwa aibu yake.
Hawa dada zetu kuna muda wanapitia mengi sana wengine kwa kukosa hela ya kujitibia matatizo yao na wengine kutumia vitu local sana.mfano pedi,chupi na wengine wanafanya kazi ngumu.
Tuache kuokota okota malaya na kingine mademu watulie na mmoja kuepuka case kama hizi.
 
Kutulia na mmoja ndiyo penyewe hapo[emoji1545]
 
Tuwafichie aibu. Tuwasaidie waondokane na tatizo.

Hata kama mpango nae, tuoneshe kujali na kusapoti.
 
Ulaji nao unachangia sana. Mtu anakaa wiki nzima hajala tunda wala mboga za majani au vyakula vya mboga mboga, ni machipsi, soda, beer, chips, mishkaki, biscuit, na vitu vingine ambavyo havimsaidii kiusafi.

Hayo mambo yanasolviwa kwa kunywa maji ya nyumbani ya kuchemshwa jikoni yakapoa sio haya ya chupa yanakuwa na chemical composition ambayo si nzuri kwa afya ya usafi wa maumbile ya mwanamke,anatakiwa kunywa kwa wingi sio chini ya lita 3 ya maji per day.

Matunda pia ni muhimu sana especially vitamin C types kama limao, chungwa, ndimu. Mboga mboga za majini kama mchicha, spinach, broccoli , bamia, nyanya chungu, salad.

Akae mbali na soda, apunguze kiasi awe anakunywa at least 3 kwa wiki na muda akimaliza kunywa asindikize na maji kwa wingi sana kuflush out soda katika mwili.

Kuhusu kunuka kinywa, ajitahidi kusafisha vizuri kinywa chake tatizo litaisha. Kuswaki mara mbili kwa siku inasaidia sana kuondoa tatizo. Kunywa maji yaliyokamuliwa limao moja na kuwekwa vipande vya tango husaidia sana.

Akipiga mswaki ajitahidi sana kusafisha ulimi wote kww kuubrush kwa umakini bila kutumia nguvu nyingi sana. Asafishe ulimi wake kwa mswaki hadi ule weupe weupe upungue na ulimi uwe na rangi yake original ya pinkish red. Hapo bacteria wataka kabisa na harufu mbaya itaondoka na atapata harufu safi ya mint ambayo huwa ni comfortable kupumuliwa nayo usoni.
Umeua
Pia juice ya nanasi makes one smell good

For oral care
Mouthwash na dental floss nayo muhimu

Mabinti jifunzeni

Pia waache kupanga wanaume
 
Kutulia na mmoja ndiyo penyewe hapo[emoji1545]
Mwanamke mwenye mwanaume mmoja huwezi sikia hayo malalamiko hata siku moja,tunawapenda sana dada zetu,mama zetu,wake zetu na mademu zetu tunaomba na nyie mjipende na kujua thamani yenu.
 
Msaidie mwenzio akatibiwe sio kuja kumwanika hadharani..Wanaume wa siku hizi washenzi sana hawana aibu. Sijui ni outcome za kutokutahiriwa jandoni.Rubbish.
Jando ya nioko. Nimsaidie akatibiwa kwan mm ndio niliompa huo ugonjwa
 
Next time vaa respirator, usije ukafia huko mtanzania mwenzetu 😂

images (43).jpeg
 
Kuna majamaa yanasema "Siwez kula papuchi bila kulewa".

Ungekua umeolewa hapo...hiyo harufu ungehisi ni harufu taaaaamu

Na ungezema chumvini mamaeee !!.
Kidogo nishangae mtaalam upite bila neno kwenye jambo hili [emoji3][emoji3][emoji3] haiwezekan
 
Aisee hii inanikumbusha miaka ya nyuma kidogo, kuna Toto la mtaani pisi kali sana, shepu usiseme rangi ya kuvutia, mchanganyiko wa Mwanyamwezi na Muarabu......ilinichukua takriban miezi sita nikimtongoza. Nilipigwa mizinga pale alipojua namkamia.

Baada ya miezi yoote ya kutafutana na kuliwa mavocha, poket Money...mwisho tukapanga mechi, na vile nilivyo mkamia nikakodi chumba ili nitafune usiku wote. Mrembo akaja kwenye chumba, tukala chakula na kinywaji, alafu maromance kwa sana, Laah kwanza mdomo ulivyo kuwa unatupa, nikasema haidhuru wacha nijaribu huko chini,... Loohh , nilikua dissapointed kabisa. Ilibidi nile kimoja ki roho mbaya.. alafu nikajifanya naongea na simu, nikatoka nje, nika kawia kidogo. Niliporudi ni ka mwambia, nimeitwa pahali kuna emergency!!!, ... nilikua namuona mtaani, salamu tu............!
 
Kuna wengine wabishi kabla ya mechi ukimwambia tukaoge kwanza anakwambia ww nenda mm nimeoga kutoka nyumban.
 
Mi nakumbuka nikiwa shule ya upili Kuna demu nilimleta gheto kwa ajili ya ku- do,baada ya foreplay ile naanza kumvua Pichu nilikutana na harufi nyingine Kali Sana ambayo ilinifanya nitapike hapo hapo.

Dada wa watu alikuwa ananuka shombo la kiwango Cha pro max.Watu huwa tunakutana na mambo mazito Sana Hadi tunashindwa kuyaongelea.
 
Ungenunua udi ufukize kidogo alafu unachakata mkuu
 
Back
Top Bottom