Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,606
- 14,081
Mkulima hachagui jembe mkuu umefeli Sana mkuu
kwa risechi ndogo niliyofanya wadada wengi wananuka midomo, wengine ni pisi wala hutegemei
njoo 'zero distance' naye alaf aongee ndiyo utaisoma freshi
Ndi nkulumba, nakazia maada tu🔨🔨mkulima hachagui jembe
Kuwa msafi bwanaHiyo ndio njia Mungu ameamua kutumia kukuambia uache uzinzi.
Acha uzinzi.
Kwako pako fresh huko?Ndo maana mnaambiwa kabla hamjafanya mambo hakikisha mmeoga ukute katoka kuswampa huko na huko tangu kaoga asubuhi alafu utegemee natural smell [emoji28][emoji28][emoji28]ni kwa wachache sana tena wenye usafi wa hali ya juuu ndo tunaweza jitahidi
Let's yako ninyonyeMnyonye papuchi na mate yameze, harufu itakata fasta mzee.
Huo wako ni ugwaduWe una matatizo tu
muogeleaji anaogelea hata ziwa lenye sumu
mi kama hao naweka tu
Wasipo kusikia kwa hili basi tena.Ulaji nao unachangia sana. Mtu anakaa wiki nzima hajala tunda wala mboga za majani au vyakula vya mboga mboga, ni machipsi, soda, beer, chips, mishkaki, biscuit, na vitu vingine ambavyo havimsaidii kiusafi.
Hayo mambo yanasolviwa kwa kunywa maji ya nyumbani ya kuchemshwa jikoni yakapoa sio haya ya chupa yanakuwa na chemical composition ambayo si nzuri kwa afya ya usafi wa maumbile ya mwanamke,anatakiwa kunywa kwa wingi sio chini ya lita 3 ya maji per day.
Matunda pia ni muhimu sana especially vitamin C types kama limao, chungwa, ndimu. Mboga mboga za majini kama mchicha, spinach, broccoli , bamia, nyanya chungu, salad.
Akae mbali na soda, apunguze kiasi awe anakunywa at least 3 kwa wiki na muda akimaliza kunywa asindikize na maji kwa wingi sana kuflush out soda katika mwili.
Kuhusu kunuka kinywa, ajitahidi kusafisha vizuri kinywa chake tatizo litaisha. Kuswaki mara mbili kwa siku inasaidia sana kuondoa tatizo. Kunywa maji yaliyokamuliwa limao moja na kuwekwa vipande vya tango husaidia sana.
Akipiga mswaki ajitahidi sana kusafisha ulimi wote kww kuubrush kwa umakini bila kutumia nguvu nyingi sana. Asafishe ulimi wake kwa mswaki hadi ule weupe weupe upungue na ulimi uwe na rangi yake original ya pinkish red. Hapo bacteria wataka kabisa na harufu mbaya itaondoka na atapata harufu safi ya mint ambayo huwa ni comfortable kupumuliwa nayo usoni.
Tunakutana sana na hizi mambo, basi tu wengine huwa hawasemiheri yako wewe ilikua papuchi walau foreplay ulifaidi
nililipa lodge na nauli, kufika, foreplay inaanza, bibie mdomo , daaah, kama kaweka panya mfu humo
nikaaga naenda kuchukua ndom, nikazima simu na 23k ya lodge ikawa imeenda ivyo
sikugegeda miezi 6 mfululizo maana ile harufu ili kaa kwa 'memory' miezi yote hiyo
Wanaume tunakutana na mabalaa sanaMi nusura nijikate kidole maana niliosha mpaka na mchanga lakini wapi, wiki nzima kidole kinanuka, ilibidi nikifunge kama kidonda.
Kweli kabisahapa tusiongee tu ila pisi inayonuka mdomo, pussy au kwapa inahitaji moyo wa bati