Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Wanawake wengi huwa hawajijui na ukiwaambia kwamba kuna harufu kali wanakuwa wakali sana anaweza kukuporomoshea matusi tena wengi wao hata ukimzoea ukamwambia kwamba hayuko sawa unahitaji kumtafutia matibabu anakushangaa kwamba mjona yeye hasikii harufu yoyote!
Mwanamke amvae upo nae kwenye mahusiano unatakiwa uwe ni rafiki yake, muwe huru kuambiana ukweli na mtu asimchukie mwenzake kwasababu kaambiwa ukweli. Ila kuna njia za kumwambia ukweli, sio ile ya kumfedhehesha , wanawake ni watu wanaoongozwa kwa hisia. So mueleze kwa upole tu kuwa anahitaji matibabu ya tatizo lake na linatibika lirahisi asiwe muoga.

Pia wanawake msitie sabuni au manukato ndani ya papuchi zenu kwa lengo ya kuzisafisha. Hizo mbususu zimeumbwa zikiwa na kiwango fulani cha pH ambayo ni acidity, kitendo cha kuingiza manukato,lotions,creams, sabuni n.k ndani ya mbususu kunapelekea kudisturb hiyo pH level naatokeo yake kusababisha ukuaji mkubwa wa bacteria wanaoweza kuleta madhara ktk papuchi
 
Sasa hapo ukute wenyewe mlijifunika shuka gubigubi😆lazma utoe shuka na kumtimua mtu mbiombio hata km ni usiku mwingi.
Aisee hiyo kitu inanuka hatari, fikiria ulale na mzoga wa panya chumbani kwa usiku mzima
 
[emoji16][emoji16] sasa badala ya kumsaidia wewe unakuja kumsema huku jamani...
Hizi nyuzi zinasaidia watu wenye haya matatizo kwenda kupata tiba na pia kutokufedheheka kujiona kuwa wapo peke yao. Wengine wanajua hayo maradhi hayatibiki ,dhana ambayo si sahihi.
 
Kikawaida kila mwanamke huwa ana body scent na pia harufu ya kipekee ya papuchi. Hizi scents ni natural na huwa ndio zinamchanganya sana mwanaume na zinamvuta ili awe karibu na mwanamke waendeleze vizazi. Ila hizi harufu zinapobadilika kutoka katika uhalisia wake zinakuwa zinamkimbiza mwanaume
 
Umenikumbusha kuna manzi mmoJa nilimpata alikuwa na mshepu na mtrako wa haja, basi nikapambana Hadi akaingia line tukakubaliana tukutane lodge Tena akaniambia yeye hatokaa ana masaa 3 TU nikasema hewala mi hata lisaa TU linanitosha. Alivyokuja kama kama maongez, Kisha romance na fore play za hapa na pale nikaona Hali ya hewa Kwa mbaali imeanza kuchange, nikajua labda Kuna panya kafa nyuma ya lodge nikajipa moyo nikaendelea na mashambulizi niliVyoanza kuchimba madini bwana ndio Ile Hali ya hewa ikaanza kuongezeka na kila nikichimba ndio yazidi mixa miuji uji mizito inatoka mashine na mazivu yote had mbupu zimelowa na Kuwa na rangi Nyeupe had najiuliza kimoyo moyo ni kitu Gani hiki. Ila huyo manzi ndio yupo kwenye stimu balaa full miuno mixer kuniomba tubadili style, uzuri hakuchukua muda akafika kileleni na kujipumzisha. Baadae nikamuuliza mbona Nina mauji uji, akasema inamtokeaga akikaa mda mref bila kudu Kwa hiyo ni kawaida Kwa gal yoyote kuhusu harufu sikumwambia, aisee chumba kilikuwa na smell kama dagaa waliooza ila yeye Wala hastuki anaona kawaida tu, ikabidi ninawe Kisha nikampiga kiswahili aende kwamba sijisikii poa maana alitaka raundi ya pili. Alivyotoka ikabidi nimwite mhudumu nikamhonga buku 10 anibadilishie mashuka, mataulo ndio hiyo Hali ikapungua maana nilimwomba nibadili chumba akasema hawez nilipe elf 30 nyingine. Baadae huyo manzi akaanza kuniganda ma sms na ma call kama yote mixa lini Tena tutapiga show kama Sina hela yeye atachangia nusu au yote kabisa nikawa namchenga mwisho akaniambia nimwambie ukwel maana kila akipata man baada ya ku do wanamuacha na Hadi akajua ana mikosi miksa kurogwa ikabidi nimchane, akaniomba nisimuache nimsaidie akatibiwe na kwel akaenda akafanyiwa vipimo ikiwemo vag. Swab na kugundua ana ma UTI na ma bacteria mwisho ma fungus akapewa madawa na maushauri mengine afanye baada ya mwez akanicheki nipige show nione kama Hal ipo au imeisha, ikawa imeisha ila Ile harufu ilikaa zaidi ya miez 3 Hadi nikamuacha kimya kimya Ingawa alinishukuru mno na Hadi alinialika Kwa harus yake ila kila nikimuona hiyo harufu inanijia kichwani.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Yaah yaani kweli ila wanaume wenzangu tukikutana na hiyo Hali tuwaeleze Kwa hekima madem zetu maana wanaume wengi wakikutana na hiyo Hali wanawakimbia mixer kuwaacha ambapo huwaumiza sana kisaikolojia wadada wengi na kuona labda wana mikosi, wamerogwa au hawana bahati. Kumbe papa inatema hatare miksa kutoa mauji uji.
 
Nliwahi kuchakata Papuchi miaka ya nyuma kidgo nlikuwa na ugwadu mbaya bt binti nliyekutana nae duuh asee ilikuwa hatarii ilinibidi nifanye usafi wa nyumba nzima baada ya show huwez amin nlifua hadi godoro[emoji23][emoji23]
Hii kitu si rahisi baadhi ya watu kuelewa. ila omba sana usikutane nayo. Kiukweli ile harufu inafaa usikie tu watu wanasimuliana km ivi. bwana bwana bwana ni haruf mbaya mbaya mbaya haina mfano ni km ile unayoskia kwenye mizoga ya paka au mbwa yaani hata useme unafungua madirisha au kuwasha feni adi mwisho ndo inakuwa km unaisambaza ienee vile daah! ile sijui ni damu iliyochacha au ni kitu hasa yani kiufupi omba sana usikutane nayo uishie kusimuliwa au usikie tu km ivi.
 
Ni bora ile harufu ya mzoga itaisha haraka puani ila ya papuchi utamaliza hata week tatu bado inakujia puani.
 
Back
Top Bottom