Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Tutalijadili na hiloIla ni ugonjwa akiwa serious anapona kabisa na hamtoisikia .
Ila wengine hawana hela ya matibabu na wengine wanaogopa kusema wana shida hiyo wengine hawajapata hospitali sahihi yakuwaponyesha