Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,932
Itakua wanaisikia mzee maana ile ngoma ikianza kutoka inakua kama vile panya buku...amedanja siku kadhaa...na kijasho chembamba lazima kinakutoka...š¤£š¤£š¤£Huwa hawasikiii, na mbaya zaidi unakuta wengine wanaringa kabisa