Nimeshindwa kujizuia jamani

Nimeshindwa kujizuia jamani

Shikamoon wakubwa zangu

Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.

Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu nakuta nakikosa, mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza, mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.

Tungekuwa wanawake tunatongoza, naona leo ningetafuta lakini, si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa, kuwasha si kuwasha viungo vimekaza, kazi zitanishinda leo.

Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy
Kumbe wanawake na nyie mnashikwaga nyege‼️
 
ukirudi utuambie I'd yako nyingine ni ipi haiwezekani uwe unachamba watu hiv kwa kujua nyuzi wanazo zipenda wakati kwenye nyuzi nyingine huwa hauonekani😅😅😅😅 ila unavituko dah
Tangu mwanzo nilikwambia Una akili,humu wachache watanielewa.

Nikupe faida moja.

Nafanya kazi mara mbili tu Kwa wiki,ni jumatatu na alhamisi jioni.

Japo naruhusiwa kuingia kazini muda wowote nikipenda.

Ni siku nyingi nimegundua uwezo mdogo wa kufikiri wa watu wa humu.

Halafu Huyo chura ananilingishia Mimi mashuka ya kariakoo ,Mimi naletewa containers 20 za mkongo kutoka Zambia nasimamia kuanzia bandarini Hadi kufika ng'ambo ,kazi walioshindwa wanaume lakini Marry nafanya.

Kwanza basi ngoja ninyamaze
 
Kuweni na imani na Wazee 😅

Hao mabinti tumewahi kuwa nao mwaka 47 🤭
Ila miaka mi5 mmhh. Ngumu kumeza
Hayo mambo hayana mabinti wa zamani wala wa sasa....si ndio hao waume zao walikuwa wakirudi wanakuta watt waliofanana na jirani zao halafu wanasema kitanda hakizai haramu
Haya mambo hayana hodari mmweeh 🫡
 
bora umetutetea maana tunaonewa sana hiki kizazi kipya😊
Tena zamani ndio kulikuwa na uchafu haswaaa. Ni kwa vile tu yalikuwa yanafanyika kimya kimya hakukuwa na utandawazi kama hivi sasa. Mume kula mke wa jirani, au mke kutembea na shemegi yake ndio ilikuwa zao hao. Mwisho wa siku wanazaliwa wtt wanawaumbua. Sura zinafanana na za jirani zao. Mtu analea anajua hasa huyu mwana si wangu lkn ndio ivo inabidi kufunika kombe mwanakharamu apite
 
humu ni kukaa kimasta zaidi😅
Tuendelee kupata burudani ( knockout ya mama ) 😂😂 sasa ni round ya 1 half-time mpambano bado ni mkali, pande zote zikionesha umaridadi kwenye kupeleka mashambulizi kwa kushtukiza.
 
Tena zamani ndio kulikuwa na uchafu haswaaa. Ni kwa vile tu yalikuwa yanafanyika kimya kimya hakukuwa na utandawazi kama hivi sasa. Mume kula mke wa jirani, au mke kutembea na shemegi yake ndio ilikuwa zao hao. Mwisho wa siku wanazaliwa wtt wanawaumbua. Sura zinafanana na za jirani zao. Mtu analea anajua hasa huyu mwana si wangu lkn ndio ivo inabidi kufunika kombe mwanakharamu apite
ila ukiwakuta wanavyo tunyooshea vidole sasa as if wao ni watakatifu,, labda shida yetu ni kujiachia sana ndo maan tunaonekana hatuna maadili🤭
 
Seran umekuja na id nyingine kuchamba wahenga?
Siwezi kuwa huyo mtu asilani na hili ndo Tatizo lenu kujifanya watabiri.

Siku nyingi utasikia huyu sijui mwanaume mara Malaya,jamani .

Mimi kila bar nikienda beer nanunua mwenyewe sijawahi nunuliwa na mtu.

Kwa mfano kuna siku nililewa nikavunja TV ya watu.halafu nikashtakiwa na kulipa

Tulivyotoka nikamnunulia Kuanzia boss mwenye pub hadi wahudumu zoom profile picture. Na hiyo ndiyo ilikuwa siku ya kesi nimenunaaaaa😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom