Nimeshindwa kujizuia jamani

Nimeshindwa kujizuia jamani

Huna akili dada ,Mimi siwezi kuuza mashuka,yaani kitu mtu Hadi kichakae ndiyo arudi😂😂😂 kenge mshamba wewe.

Mimi nafanya kazi sina malonyalonya kama wewe Nina MacBook, moja, calculator moja ,Fiber ya Yas na camera zinaniona,sasa otea hiyo ni kazi gani,yaani uuze mapazia ujianike mtandaoni wee Una akili kweli
ephen_ toa hivyo viatu haraka kwenye profile yako kabla na wewe hujafikiwa. 😀
 
Shikamoon wakubwa zangu

Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.

Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu nakuta nakikosa, mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza, mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.

Tungekuwa wanawake tunatongoza, naona leo ningetafuta lakini, si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa, kuwasha si kuwasha viungo vimekaza, kazi zitanishinda leo.

Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy
Upo wapi?
 
Utajuaje, unataka nikuonyeshe vyote uwehuke??

Nyau weye, 🤣 🤣,,,

Hii ya mwisho nishagundua kumbe nabishana na chizi minyege fangasi,
Wewe dada huna kitu kaa kimya,Mimi sibishani na mjasiriamali hata kidogo😂 umenichekesha sana, Mimi sivyo unavyonifikiria,sema nikuongezee shilingi ngapi ili vitu visibanane hivyo
 
ukirudi utuambie I'd yako nyingine ni ipi haiwezekani uwe unachamba watu hiv kwa kujua nyuzi wanazo zipenda wakati kwenye nyuzi nyingine huwa hauonekani😅😅😅😅 ila unavituko dah
Mambo ya itelijensia 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom