Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,757
- 5,602
Ila Zanzibar kuna vituko sana.....Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
View attachment 2844104
Muache kukisia umri wa watu kwa macho. Maumbo yanatofautiana. Mimi nikiwa kidato cha Tano nilikuwa Nina miaka 18, lakini picha zangu huyo anaonekana mdogo tu, bahati mbaya siwezi kuzituma humu. Kuna watu tuna miili mikubwa hata usiseme. Japo kweli baadhi wanafoji miaka, ila uthibitisho unahitajika.Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
View attachment 2844104
Wachezaji wanafanya sana mazoezi hatimaye wanaukuza mwili haraka pia wanakula sana18 huyo mwangalie vizuri paji LA uso lakitoto.
Litoto kabisa mbona,Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
View attachment 2844104
Ndoto zikazimwaLitoto kabisa mbona,
Nikiwa na miaka 16 nilikuwa na uwezo wa kutandika ball kisawasawa tu, kusimama na mchezaji yeyete wa umri mkubwa na kumsumbua ninavotaka